Labda useme Tecno ina matatizo gani mpaka asichukue? Binafsi nilikuwa natumia Note 3 lkn bahati mbaya ikapotea nikaamua kununua J8 lkn mpaka sasa sijaimiss note 3 yangu kwa sababu J8 inafanya kazi vizuri sana sawa na ile note 3. Sasa nashangaa watu wanavyozipiga vita Tecno zijui zimefanya nini ?Mkuu acha kumpotosha mwenzako,kwa pesa hiyo anapata Samsung j1 ace mpya kabisa na kama anavyosema anaweza kuongeza 50 akapata za aina nyingine kama Huawei, HTC, na zingine nyingi tu,ila HASICHUKUE TECNO.
Kati ya hizo garaxy j3 nitapata kwa bei gani? au hiyo sony z nitapata kwa bei gani siliazzz nahitaji mojawapoacha kushangaa shangaa, simu nzuri lazma iwe na uwezo mzuri, mfn: camera bomba, ram na storage kubwa, display pouwa, processor fresh, battery kubwa etc...Sasa njoo nikupe simu ya kibaba..sony xperia z, ipo full box au galaxy J3 au nyingne zipo kibao utachagua mwenyewe. nini tecno bana wakati vunja bei matelephone nipo humu!
0654776976
Nikupe mfano tu. Chukulia Samsung galaxy S Duos, duka la Samsung laki nne. Nilinunua Kibo Complex Samsung shop. Ram yake ni 768MB. Hapo ukiweka Instagram, Whatsapp, Facebook, messenger. Simu inakuwa slow vibaya. Na inachemka acha tu. Yani unaweza kumaliza kuongea na mtu alafu button ya kukata ikawa stuck. Hapo kama vocha ni ya mawazo...Tuambie tecno gani hiyo iliyokua sawa na samsung unazo sema ni za lak tatu na kuendelea
kila moja happ mpyaa kabsa unapata kwa 350 tu...pungufu njoo...ila j2 ni 260kKati ya hizo garaxy j3 nitapata kwa bei gani? au hiyo sony z nitapata kwa bei gani siliazzz nahitaji mojawapo
pana mkuu sijawadharau cuz kuna tecno bei juu kuliko samsung ila tu ni simu hali ya chini ki performance na utendaji kazi wake zina crash ovyo mno ...processor zao ni za hali ya chini mno ila bei juu...mapimbi aya makers wa tecno nilikua na tecno y4 ...mpyaa nilitumia wiki3 ..nikaigawa bureWewe itakuwa CCM chama cha kudharau watu wasio na makosa na kuwatukuza mafisadi hadi kuwaita waheshimiwa house Girl siyo ufisadi.mafisadi wengi wa chama cha magamba wanatumia samsung
Ni kweli Mkuu. Mimi nina C9 iko bomba sana. Ina 4G ram 2B na flash ya camera ya mbele. Sijajuta kuinunua kwa kweli. Wife nilimnunulia Samsung J1 ace haikumaliza hata mwezi screen imeganda haibonyezeki.Labda useme Tecno ina matatizo gani mpaka asichukue? Binafsi nilikuwa natumia Note 3 lkn bahati mbaya ikapotea nikaamua kununua J8 lkn mpaka sasa sijaimiss note 3 yangu kwa sababu J8 inafanya kazi vizuri sana sawa na ile note 3. Sasa nashangaa watu wanavyozipiga vita Tecno zijui zimefanya nini ?
Utoe 400 ukanunue S duos?Nikupe mfano tu. Chukulia Samsung galaxy S Duos, duka la Samsung laki nne. Nilinunua Kibo Complex Samsung shop. Ram yake ni 768MB. Hapo ukiweka Instagram, Whatsapp, Facebook, messenger. Simu inakuwa slow vibaya. Na inachemka acha tu. Yani unaweza kumaliza kuongea na mtu alafu button ya kukata ikawa stuck. Hapo kama vocha ni ya mawazo...
Sasa niambie kwa hiyo laki nne. Si ningepata Tecno yenye 2gb Ram? Tena ningeweka mavitu kibao na bado ingekuwa functionable.
Ila isiwe kesi, those were just my 2 cents.
-callmeGhost
mi natumia P5 toka mwaka 2011 sion shida naenjoy tu sijui labda kuna mambo nayakosa
huu pia ni uongo p5 imetoka september 2013 iweje umeitumia miaka 4 unless nimelala hadi leo ni september 2017Mm natumia P5 mwaka wa nne n haina crack wala haijawah kufunguliwa.
kioo cha j8 ni kama kimemwagiwa maji ya mchele, rangi nyeusi kama kijivu utakifananishaje na amoled? bahati nzuri ninayo hio j8 imeletwa kama zawadi, mkuu kama mimi nakosea nisahihisheLabda useme Tecno ina matatizo gani mpaka asichukue? Binafsi nilikuwa natumia Note 3 lkn bahati mbaya ikapotea nikaamua kununua J8 lkn mpaka sasa sijaimiss note 3 yangu kwa sababu J8 inafanya kazi vizuri sana sawa na ile note 3. Sasa nashangaa watu wanavyozipiga vita Tecno zijui zimefanya nini ?
kama umenunua s duos kwa 400,000 ni wewe mwenyewe, kuna mtu anaweza nunua mawe kwa bei ghali lakini hilo halifanyi madini yote kukosa thamaniNikupe mfano tu. Chukulia Samsung galaxy S Duos, duka la Samsung laki nne. Nilinunua Kibo Complex Samsung shop. Ram yake ni 768MB. Hapo ukiweka Instagram, Whatsapp, Facebook, messenger. Simu inakuwa slow vibaya. Na inachemka acha tu. Yani unaweza kumaliza kuongea na mtu alafu button ya kukata ikawa stuck. Hapo kama vocha ni ya mawazo...
Sasa niambie kwa hiyo laki nne. Si ningepata Tecno yenye 2gb Ram? Tena ningeweka mavitu kibao na bado ingekuwa functionable.
Ila isiwe kesi, those were just my 2 cents.
-callmeGhost
Mkuu unajua kupiga debe aisee. Seriously kweli?Nikupe mfano tu. Chukulia Samsung galaxy S Duos, duka la Samsung laki nne. Nilinunua Kibo Complex Samsung shop. Ram yake ni 768MB. Hapo ukiweka Instagram, Whatsapp, Facebook, messenger. Simu inakuwa slow vibaya. Na inachemka acha tu. Yani unaweza kumaliza kuongea na mtu alafu button ya kukata ikawa stuck. Hapo kama vocha ni ya mawazo...
Sasa niambie kwa hiyo laki nne. Si ningepata Tecno yenye 2gb Ram? Tena ningeweka mavitu kibao na bado ingekuwa functionable.
Ila isiwe kesi, those were just my 2 cents.
-callmeGhost
Samsung ipi nitapata kwa pesa hiyo.Unataka simu nzuri,kisha unaitaja Tecno........ wakati kwa pesa hiyo unapata Samsung nzuri tu.
Asante mkuulkanunue tecno c5, camera ipo poa na pia ina 4g kitu ambacho hata tecno c8 haina
Asante mkuu, nimekuelewa.Mimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizo[emoji115] zinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
Naona kila mtaka simu nzuri mnampa specs za Camera!tecno nzur kuliko zote ni tecno cannon c9 specification zake ni
camera ya mbele ni mp 13 na camera ya nyuma ni mp 13 na rama 2 gb ila bei yake laki 3+
nyingne ni tecno w4 yenye 4g
camera ya nyuma ni 8 mp
camera ya mbele ni 5 mp
ram 1gb
android version 6
bei laki mbili +