Simu imezingua camera

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,448
2,289
Habarini ndugu asubuhi nimeamka nikachonga na mshkaji mmoja anailekebishie PC yangu kioo kimezngua kidogo akasema nimtumie picha ya laptop nikachukua simu nakufungua camera ikawa ipo kwenye flash inawaka nikapiga picha ikakubali nika skip camera ajabu bado flash ipo on nikafanya ujanja pale olaa nika restart ndio kuzima sasa flash ipo off.

Ukiwasha camera airespond ata tochi siwezi washa tatizo nini ndugu zanguni wenye uelewa simu ni ((Tecno phantom six plus)) kwa sasa nimeamisha majeshi kwanza kwa Nokia nikifanya mchakato wa kushughulikia hii wakuu msaada wenu apo kwenye flash light ndio papo ivo sjui kama screen short imeonekana vizuri Chief-Mkwawa
Screenshot_20210212-112327.jpg
 
Tafuta ile app then iguse bila kuachilia kitatokea kialama cha i kiguse hicho kwenda direct kwenye menu ya kuclear cache.
 
Tafuta ile app then iguse bila kuachilia kitatokea kialama cha i kiguse hicho kwenda direct kwenye menu ya kuclear cache.
Tafuta ile app then iguse bila kuachilia kitatokea kialama cha i kiguse hicho kwenda direct kwenye menu ya kuclear cache.
Nilifanya ivi mkuu nika clear data na ikawa zero data nikawasha tena ola ila baada ya muda imerejea fresh inapga nashukuru sana ndugu Chief-Mkwawa
 
Wanunua techno huwa nawaita wazalendo, pongezi mzalendo
Asante beberu na ongera kwa simu yako inayojiweka vocha yenyewe na kujichaji yenyewe inayofungua internet bure bila kulipia ndio utofauti uliopo si wa tecno vocha mpaka tukwangue na kuweka sio izo zenu za kijiweka zenyewe Internet mpaka tulipie kuchaji mpaka tuziweke chaji sio kama zenu za kijichaji zenyewe ongera kwa simu iyo
 
Back
Top Bottom