BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,867
- 303
Sim yangu ukimpigia mtu hata ukipigiwa haipatikani, ila nimeambiwa inatakiwa niiflash, sasa swali, je? Siwezi kuiflash mimi mwenyewe, maana laptop ninayo, cd yake ya software ninayo, na nina full time internet access. Naomba msaada kuhusu hilo, au nikagawe riziki kwa wananchi wenzangu, kwa gharama ya kuflash? naomba msaada wadau.
Jaribu ku-formart kwanza, small format *#7370# secret code 12345. Big format, zima simu yako shikilia green key,nyota,namba 3, washa simu huku umeshilia sehemu hizo, tafadhali usiachie sehemu hizo nne hadi simu iwe imewaka sawasawa. Hakikisha battery yako iko full unapofanya big format. kuhusu flash http://tinyurl.com/244zusl YOU DO THIS AT YOUR OWN RISK.