......
when Mobile IMEI ikiwa blacklisted aiwezi kamata network iliyoblacklistiwa,but for now apa TZ kama Voda wakiiblaklist,Ukiweka line ya Tigo inafanya kazi,but ikiwa CEIR ina fanya kazi when Tigo or Voda etc Blacklist a Mobile the mobile will not work in any Tanzania Mobile network
Theft Aware provides data protection and theft recovery for Smartphones. It enables you to control and find your device in the event of loss or theft. To enable communication to your phone you will register up to two notification numbers with Theft Aware (friends of yours, or your second phone). Those friends will then receive all Theft Aware messages for you. Now, if the thief changes the SIM card of the phone, Theft Aware will invisibly send the phone number of the thief to those recipient numbers.
Pros: - completely invisible to the thief
- if the thief changes simcard you get his phone number! it's sent to a number u specified before.
- GREAT to spy on girl/boy friend - but not allowed :-
Cons: - Trial is free - but full Version costs money (just once - no monthly fee)
unweza kuijaribu hapa kwa majaribio http://download.cnet.com/Theft-Aware-Symbian/3000-2144_4-10973790.html
Duh bwana mzee! Sina lengo baya lakini jitahidi saana kujifunza maneno gani yanaanza na h na yapi a.So far what you can do is to keep your emei number at safe place.Simu ikihibiwa unacheki na watu wa switch kwenye mitandao yote ya apa Tanzania.hawa watakuambia ipo ktk line number ngani,then unaweza kumtafuta kibaka wako.
so far inatakiwa TCRA kuinstall CEIR Central Equipment Identification Register,hii ndio kiboko ya wezi wa simu,but I dont know when this will be in place.
when Mobile IMEI ikiwa blacklisted aiwezi kamata network iliyoblacklistiwa,but for now apa TZ kama Voda wakiiblaklist,Ukiweka line ya Tigo inafanya kazi,but ikiwa CEIR ina fanya kazi when Tigo or Voda etc Blacklist a Mobile the mobile will not work in any Tanzania Mobile network
Ni vizuri kuainisha aina ya simu unayo tumia, ili upate ushauri unao stahiki, isijeikawa unazungumzia simu za kichina? FuzzyByte Guardian Platinum v1.05.300 S60v3 S60v5 SymbianOS9.x Unsigned Read NFO Cracked-DiL tembelea hii link kisha njoo utueleze ni simu ya ainagni uliyo nayo!watalamu naomba msaada wenu ni jinsi gani naweza kuilinda simu yangu na vibaka.??
Kwa N70 kama ni yennyewe sio Mchina jaribu hii, http://tinyurl.com/2785noe
Tumia "Wave Secure" www.wavesecure.comna simu Nokia N96 waweza ilinda vipi? Thanx.
Zipo njia nyingi angalia ilio nyepesi na yenye matumaini japo kidogo. N96 waweza jaribu na hii vilevile, http://tinyurl.com/2d6qunf kwa simu kama hizo ili uweze ku install prog yoyote must be hacked au uwe unaelewa ku sign prog, dowload, jaribu ku install, ukipata msg yoyote kuhusu certificate wakati una install njoo na hiyo msg tusaidiane ku-hack au ku-sign hiyo simu yako.na simu Nokia N96 waweza ilinda vipi? Thanx.
Ni kweli! lakini kwakutumia prog hizi kama inavyo takiwa kuna asilimia 50 ya kupatikana simu ilioibiwa/potea. simu iliowekwa proggram hii haimletei usumbufu wowote mwizi/alieiokota, baada ya kuweka tu sim card nyengine hii prog ndio inaaza kufanya kazi, kitu cha kwanza ile icon ya prog ina disappear halafu namba ya simu ilio wekwa kwenye simu yako inatumwa kwako bila yeye kujuwa kwamba simu inatuma sms outomatic. so hatakuwa na sababu ya ku-iformat/flash. kuna mtu nilimuwekea program hii kwenye simu yake N70, yeye ilimpotea haikuibiwa, simu yake ilipatikana kwa msaada wa polisi.kwakweli akuna njia sahihi kwa mfumo wa kwetu unaoweza kukuhakikishia usalama wa 100 kwa 100 ukiibiwa cm yako hapa tz kwani mbinu zote mlizotaja hapa zinatatulika na cm inakuwa free kabisa kutoka kwa mmiliki halali kwenda kwa mwizi
http://tinyurl.com/2d6qunf [/B]kwa simu kama hizo ili uweze ku install prog yoyote must be hacked au uwe unaelewa ku sign prog, dowload, jaribu ku install, ukipata msg yoyote kuhusu certificate wakati una install njoo na hiyo msg tusaidiane ku-hack au ku-sign hiyo simu yako.
Mh! Una uhakika simu yako ni original? kwani ni msg tofauti na niliyo itegemea. ok! tutaona mbele ya safari, install hii MOBILE SIGNER http://tiny.cc/1my87 halafu njoo utueleze nini kimetokea.message, (drive the new drive unavailable. Try again). Hii inatokea wakati wa kuinstal. Any help pls