Simu gani ninunue kati ya hizi mbili Samsung A20 vs Nokia 3.1

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,359
2,000
Chukua Nokia hiyo ufurahie Afu hizo zimetoka mwaka jana bado zipo poa Mimi natumia Nokia 6.1 plus iko fresh kila kona hasa chaji nachaji kila baada ya masaa 24-27 nikiwa natumia data au masaa 40+ kama sina data kioo smart speed ya hali ya juuu

Chukua Nokia japo samasung nazo si haba ila ukitaka upekee na ubora wa hali ya juu chukua chombo hiko
Mawazo yenu wadau
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,999
2,000
Ngumu Sana kucompete na Hizi Samsung mpya atleast on paper.

Nokia 3.1 Ina cortex A53 tupu bila cortex A73, SOC ya mediatek ya zamani 28Nm na battery Dogo la 3000mah, Mambo yote hata A20 inayo zaidi SOC ya 14nm, battery kubwa 4000mah, cortex A73 cores etc.

Kila idara A20 ipo vizuri, yaani hii 3.1 hata A10 IPO vizuri.

Labda usubirie 3.2 na series nyengine za x.2 za Nokia wanaweza ku improve Ila kwa Sasa ningenunua A20 over 3.1
 
alubati

JF-Expert Member
May 29, 2016
3,919

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
7,572
2,000
Chukua Nokia hiyo ufurahie Afu hizo zimetoka mwaka jana bado zipo poa Mimi natumia Nokia 6.1 plus iko fresh kila kona hasa chaji nachaji kila baada ya masaa 24-27 nikiwa natumia data au masaa 40+ kama sina data kioo smart speed ya hali ya juuu

Chukua Nokia japo samasung nazo si haba ila ukitaka upekee na ubora wa hali ya juu chukua chombo hiko
Sasa hiyo Nokia 3.1 inaizid A 20 kwa lipi? Nokia hiyo Haifui dafu kwa A20 kaangalie specs
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom