naungana na mdau, nunua teknoNunua Techno spark
Nunua Techno spark
Mawazo yenu wadau
Mimi tecno hata watoe simu na waiite "Mungu simu" sinunui kamwe. Inawezekana watatoa simu nzuri miaka ijayo, ila brand zingine zitakuwa zimeshatoa mabalaa zaidi ya simu. ambapo tecno hatakuwa na jipya.naungana na mdau, nunua tekno
😁 😁 😁 😁Mimi tecno hata watoe simu na waiite "Mungu simu" sinunui kamwe. Inawezekana watatoa simu nzuri miaka ijayo, ila brand zingine zitakuwa zimeshatoa mabalaa zaidi ya simu. ambapo tecno hatakuwa na jipya.
Weka akiba ya maneno mkuuMimi tecno hata watoe simu na waiite "Mungu simu" sinunui kamwe. Inawezekana watatoa simu nzuri miaka ijayo, ila brand zingine zitakuwa zimeshatoa mabalaa zaidi ya simu. ambapo tecno hatakuwa na jipya.
Na vipi ubora wa galaxy A10
Ngumu Sana kucompete na Hizi Samsung mpya atleast on paper.
Nokia 3.1 Ina cortex A53 tupu bila cortex A73, SOC ya mediatek ya zamani 28Nm na battery Dogo la 3000mah, Mambo yote hata A20 inayo zaidi SOC ya 14nm, battery kubwa 4000mah, cortex A73 cores etc.
Kila idara A20 ipo vizuri, yaani hii 3.1 hata A10 IPO vizuri.
Labda usubirie 3.2 na series nyengine za x.2 za Nokia wanaweza ku improve Ila kwa Sasa ningenunua A20 over 3.1
Sasa hiyo Nokia 3.1 inaizid A 20 kwa lipi? Nokia hiyo Haifui dafu kwa A20 kaangalie specsChukua Nokia hiyo ufurahie Afu hizo zimetoka mwaka jana bado zipo poa Mimi natumia Nokia 6.1 plus iko fresh kila kona hasa chaji nachaji kila baada ya masaa 24-27 nikiwa natumia data au masaa 40+ kama sina data kioo smart speed ya hali ya juuu
Chukua Nokia japo samasung nazo si haba ila ukitaka upekee na ubora wa hali ya juu chukua chombo hiko