Simu gani ninunue kati ya hizi mbili Samsung A20 vs Nokia 3.1

Ngumu Sana kucompete na Hizi Samsung mpya atleast on paper.

Nokia 3.1 Ina cortex A53 tupu bila cortex A73, SOC ya mediatek ya zamani 28Nm na battery Dogo la 3000mah, Mambo yote hata A20 inayo zaidi SOC ya 14nm, battery kubwa 4000mah, cortex A73 cores etc.

Kila idara A20 ipo vizuri, yaani hii 3.1 hata A10 IPO vizuri.

Labda usubirie 3.2 na series nyengine za x.2 za Nokia wanaweza ku improve Ila kwa Sasa ningenunua A20 over 3.1
Mkuu cortex inasadia nin hasa??na trend zake zikoje???

Pia hizo 14nm na 28nm zina tofauti gan kiutendaji na ukaaji wa chaji?
 
Kwenye Android mpangilio wa processor una nickname inaitwa "Big little" Formation. Kunakuwa na core kubwa zenye nguvu na kula chaji Sana, na zipo core ndogo zisizo na nguvu lakini zinatunza chaji.

Core kubwa zenye nguvu
Toka 64bit itoke kwenye ulimwengu wa Android core kubwa zenye nguvu Ni Kama A57, A72, A73, A75 na A76 hizi ndio zinahandle task kubwa zote Kama kucheza games kubwa, apps kubwa kubwa na task nyengine zinazohitaji processor yenye nguvu. pia zipo core kubwa za zamani Kama cortex A15 na A17 sema hizi zilitumika 2014 kushuka chini siku hizi nadra Sana kuzipata.

core ndogo zinazotunza chaji
kwenye 64bit Hapa unapata core Kama cortex A53 na cortex A55, pia ipo cortex A35 sema hazitumiki Sana na kwenye 32Bit Kuna cortex A7, hii bado inatumika Ila IPO slow Sana. Cortex A53 na wenzake wao wanatunza chaji Sana, na wanatumia kurun apps ndogo ndogo Kama WhatsApp, insta, kupiga simu, sms etc.

big little formation
Hii Ni formation ya processor za Android ambapo core zote mbili zinachanganywa, unakuta processor Ina core kubwa na ndogo, unapofungua kitu kizito simu inaswitch kwenye core kubwa na kuongeza performance na unapofanya Mambo mepesi inaswitch kwenye core ndogo na kutunza chaji. Mfano wa simu inayotumia mfumo huu Ni Kama Galaxy A10 ambayo Ina core 2 za cortex A73 ambazo Ni kubwa na core 6 za cortex A53 ambazo Ni ndogo.

kuhusu nm
Ili kuielewa vizuri kuhusu nm (nanometer) Ni vyema kwanza tuanzie juu. Processor zinatokana na kitu kinaitwa silicon ambacho kinatokana na mchanga. Kabla processor haijatengenezwa kunatengenezwa kwanza wafer ambayo ipo Kama Hivi
Qualcomm-Snapdragon-8cx-chip-wafer-1024x576.jpg

Hili sinia ukiangalia kwa ukaribu utaona Kama limekatwa katwa, hizo Ni die za processor ambazo zinatoka kwenye hio wafer, die yenyewe ipo Kama Hivi.
snapdragon-855-mobile-platform-chip-on-wafer-620x413.jpg

Ndani ya hiyo die Kuna kitu kinaitwa transistor ambazo Ni ndogo Kama Hivi
3886300_cv_transistor_1nm-1024x384.jpg

Ukishaona Hapo juu ndio uanze Sasa kuielewa Nm kwenye Hivi vifaa vya electronic.

Wakisema 28nm ama 14nm wanamaanisha manufacturing process iliotumika kutengeneza hio processor ama gpu ama aina nyengine ya kifaa Cha electronic.

Nm ama nanometer Ni kipimo Kama unavyosema mita, sentimita, milimita etc ndani ya milimita 1 Kuna nanomita milioni 1 hivyo unaona Ni kiasi gani zilivyo ndogo hizi nanomita.

Tuchukulie Sasa mfano processor moja Ina 28nm na nyengine Ina 14nm, na die Ni 1mm kufanya mahesabu mepesi hio die Ni horizontal tu. Inamaana kwenye processor ya 28nm kutakuwa na transistor 35,000 na kwenye 14nm zitakuwa Kama 70,000 hivyo unaona advantage ya Kuwa na nm ndogo kwenye processor.

Hizi Ni baadhi ya advantage za Kuna na nm kidogo.
1. Transistor zinakuwa nyingi Sana kwenye die na kuongeza performance
2. Die inaweza kupunguzwa na bado transistor zikawa nyingi na kupelekea umeme kidogo kutumika hivyo kusababisha simu ama kifaa chengine kula umeme kidogo.
3. Die ikiwa ndogo kwenye wafer moja kampuni inapata die nyingi na kuweza kutengeneza processor nyingi kwa Bei ile ile hivyo kupunguza Bei ya simu ama vifaa vyengine.
 
Najifunza mengi kutoka kwako.....nna maswali machache tena..

Je kwa mfano simu ikiandikwa 14nm octacore up to 2.2GHz.....iyo inamanisha nini??

Snapdragon namba zinavoongezeka ndo uwezo pia unaongezeka??

Simu nying za sasa zina water drop.....kazi yake ni nini hasa??

Pia kwenye simu kuna zile port(vitundu) za speaker na zile nyingne.....je zile nyingne kazi yake ni nn?

Reference redmi note 7

Natanguliza shukran
 
Chief vipi utendaji kazi wa galaxy A10 na utunzaji chaji wake ukoje?!

-14nm inamaanisha manufacturing process iliotumika Kama tulivyosema Hapo juu
-octa core inamaanisha hio processor Ina core 8,
-na up to 2.2ghz inamaanisha clock speed ya hio processor inaweza kwenda Hadi 2.2ghz lakini muda mwingi itakuwa chini ya Hapo.

Snapdragon namba zinavoongezeka ndo uwezo pia unaongezeka??
Mkuu snapdragon zipo kwenye series.
-Series nzuri zaidi Ni ya 800 ambayo Kuna processor Kama sd 855, 845, 835 etc hii hutumika kwenye simu Kali za high-end.
-inayofuatia Ni series ya 700 ambayo hutumika kwenye simu za Kati za juu (upper mid-range)
-kuna series ya 600 ambayo hutumika kwenye mid-range
-kuna series ya 400 ambayo inatumika kwenye low end
-kuna series ya 200 ambayo Ni simu za Bei rahisi zaidi Kama feature phone.

Sema series 600 ya kisasa inaweza kuwa Kali Kushinda series 800 ya zamani, mfano snapdragon 675 Ni nzuri Kushinda snapdragon 801, 805 ama 808.

Hivyo unapochagua uangalie ambayo imetoka karibuni (ukigoogle utapata information ya snapdragon husika)

Simu nying za sasa zina water drop.....kazi yake ni nini hasa??
unamaanisha water/splash resistant? Hizi Ni simu zisizoingia maji na zinakuwa na ratings zake, kila rating inakuwa na maana yake.

Mfumo wake Ni Kama huu IP67
-neno ip kinakuwa constant
-namba ya kwanza Ni protection ya solid (6)
-namba ya pili Ni protection ya liquid. (7)

Hii Ni table yake
iprating_chart.jpg

Simu nyingi wanazotangaza Kama water resistant wanamaanisha hio IP67 na IP68 ambayo Ni protection ya vumbi na maji mita kadhaa kwa nusu saa, zinafaa tu kuogelea nazo swimming pool na kucheza maji Ila ukiingia nazo deep baharini zinaharibika.

Pia kwenye simu kuna zile port(vitundu) za speaker na zile nyingne.....je zile nyingne kazi yake ni nn?

Reference redmi note 7

Natanguliza shukran
Matundu haya mkuu?
redmi-note-7_11-w782.jpg

Kikawaida yakiwa mawili yanamaanisha simu Ina speaker zaidi ya moja ili u enjoy stereo sound, sema redmi note 7 haina stereo speakers hivyo sijui kwanini wameyaeka mawili.
 
Back
Top Bottom