Simu binafsi ya Rais Kikwete inatumia laini gani?

Simu binafsi ya Rais Kikwete inatumia laini gani?

Status
Not open for further replies.
Ama kweli we Great thinker sasa maswali yako ungempata mzee rweyemamu angekujb vizuri kweli
 
Hivi Karibuni kwenye mazishi ya Mzee Nelson Mandela nilimwona Rais Kikwete akiwa ameshika simu aina ya touch screen akiipapasa papasa. Je Rais huwa anatumia simu yenye mtandao gani? ni local sim card? Je ni simu hiyo anaitumia kipewa briefing ya mambo yanavyoendelea nchini akiwa nje? Kama kuna jambo limetokea nchini na Rais yuko nje ye makamu wa rais atampata vipi kwa njia ya simu kama simu yake inatumia local lines? Je huwa anabadilisha sim card kila nchi anayokwenda ili kupata mawasiliano?

Katika hali yoyote ile huwezi kujadili mawasiliano ya Rais, wewe ni nani??? Ukifahamu halafu iweje. Mods wa zamu naona mmelala. Ondoa hii kitu hapa, not every post should be termed "Where we dare talking openly". Kwa hili hapana.
 
Mnataka muanze kupekua mawasiliano ya Rais?? Hivi mbona chadema hamna hata aibu??

Duh! Wapi pameandikwa kuwa mleta mada ni member wa chadema? Au siku hizi jina jingine la chadema ni rihanna?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom