TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,649
- 1,128
Hivi Karibuni kwenye mazishi ya Mzee Nelson Mandela nilimwona Rais Kikwete akiwa ameshika simu aina ya touch screen akiipapasa papasa. Je Rais huwa anatumia simu yenye mtandao gani? ni local sim card? Je ni simu hiyo anaitumia kipewa briefing ya mambo yanavyoendelea nchini akiwa nje? Kama kuna jambo limetokea nchini na Rais yuko nje ye makamu wa rais atampata vipi kwa njia ya simu kama simu yake inatumia local lines? Je huwa anabadilisha sim card kila nchi anayokwenda ili kupata mawasiliano?
Wewe nawe, sasa hiyo ni simu ya aina gani, mi ndo kwanza nasikia aina hiyo ya kwako.