Simu binafsi ya Rais Kikwete inatumia laini gani?

Simu binafsi ya Rais Kikwete inatumia laini gani?

Status
Not open for further replies.

Rihana

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
498
Reaction score
250
Hivi Karibuni kwenye mazishi ya Mzee Nelson Mandela nilimwona Rais Kikwete akiwa ameshika simu aina ya touch screen akiipapasa papasa. Je Rais huwa anatumia simu yenye mtandao gani? ni local sim card? Je ni simu hiyo anaitumia kipewa briefing ya mambo yanavyoendelea nchini akiwa nje? Kama kuna jambo limetokea nchini na Rais yuko nje ye makamu wa rais atampata vipi kwa njia ya simu kama simu yake inatumia local lines? Je huwa anabadilisha sim card kila nchi anayokwenda ili kupata mawasiliano?
 
Mleta mada ameuliza tu ,wewe wasiwasi wako ni wa nin?.
Na kweli mkuu mimi nimeuliza tu maana nilimwona rais anapekua simu yake nyeusi ina kioo kipana, sasa nikajiuliza hayo maswali sihusishi na mambo ya siasa
 
mleta mada na yeye anajiita Great Thinker!! kweli JF siku hizi imevamiwa
 
Hivi Karibuni kwenye mazishi ya Mzee Nelson Mandela nilimwona Rais Kikwete akiwa ameshika simu aina ya touch screen akiipapasa papasa. Je Rais huwa anatumia simu yenye mtandao gani? ni local sim card? Je ni simu hiyo anaitumia kipewa briefing ya mambo yanavyoendelea nchini akiwa nje? Kama kuna jambo limetokea nchini na Rais yuko nje ye makamu wa rais atampata vipi kwa njia ya simu kama simu yake inatumia local lines? Je huwa anabadilisha sim card kila nchi anayokwenda ili kupata mawasiliano?
JK anakaribia kustaafu watu wameshaanza kutafuta private number yake - makubwa haya: ngoja mama salma akutafute uone moto wake.
 
Ma------ yako ww!!!! Chadema inaingiaje hapa? Au mleta uzi kasema yeye ni Chadema?
La hasha mimi si chadema ila ni chama ninachokipenda kwa msimamo wake thabiti
 
...nenda ukadukue simu ya mtoto wa mkulima utapata namba ya raisi fasta...
 
Hapa JF ni reception ya ikulu???


Mtandao wa jamiiforums unasomwa na watu wengi tofauti tofauti wenye kuelewa baadhi ya mambo tusiyoyafahamu mimi na wewe,mleta mada aliuliza kama wewe huna jibu kaa kimya kama unalo sema.Kwani tatizo lipo wapi?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom