Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
we ungekuwa mpenzi wangu tungeshagombana.
Bwanae rudi zako ulipotoka, utasababisha nyani ngabu akufuate huku....we ungekuwa mpenzi wangu tungeshagombana.
we ungekuwa mpenzi wangu tungeshagombana.
Bwanae rudi zako ulipotoka, utasababisha nyani ngabu akufuate huku....
pole....yaani ni ngumu kueleweka labda uamue tu kupotezea!
Yaani mama sharon alipoona simu inaita akashindwa kumkimbizia bosi wake?
(usikute hata jina alokusevu huko ukilijua utapata kifafa chaukubwani)
Nagwe? Tugombane kwa lipi?
Bwanae rudi zako ulipotoka, utasababisha nyani ngabu akufuate huku....
Bwanae rudi zako ulipotoka, utasababisha nyani ngabu akufuate huku....
Atakuwa kamsevu 'battery law' sasa masharon akicheki screen anajua ni battery law, kumbe loooh shemu anapiga! Mambo ya simu jamani ni kichefu chefu!pole....yaani ni ngumu kueleweka labda uamue tu kupotezea!
Yaani mama sharon alipoona simu inaita akashindwa kumkimbizia bosi wake?
(usikute hata jina alokusevu huko ukilijua utapata kifafa chaukubwani)
sipendi niwe nimelala halafu lijitu linanipigia simu tena usiku wote huo. tunaharibiana pozi.
Mwajuma kuna likupitalo?
Mzee inaonekana unawapigaga chini fasta! Huyu Hajapokea simu tu, Unataka kumpiga chin! Dah!Leo usiku wa saa8 nilistuka toka usingizini,kwa kuwa huwa na mazoea ya kumpigia simu mpenzi wangu muda wowote,nikaona si vibaya kumpigia simu na kuzungumza naye(ikumbukwe ni kawaida yetu).
Baada ya kupiga simu yangu ikawa imesubirishwa(waiting),zaidi ya masaa mawili kila nikipiga bado nawekwa waiting,nikatuma msg kimya.baadae nikatuma msg ya pili nikamwambia "NADHANI MWISHO WETU UMEFIKA SIWEZI LAZIMISHA SANA"
Hapo baada ya dk 5 kupita akanipgia simu na kuanza nambia,cjui nikwambie nini ili unielewe? Ila ukweli simu alikuwa nayo mama sharoni(ambae ni mfanyakazi wake wa ndani).na kujitetea kuwa mama sharoni hana line ya "sote ni ndugu" ndo mana akawa amempa aitumie simu yake. Kwangu haiclik kichwani na nipo njia panda.
Nimjibu nini?
Natanguliza shukrani zangu.
kwa heshima ya mwanaakili ambaye ni mgogo mwenzangu wa mpwapwa naomba tutoke humu.
Hahahaha! Nimeamini una mapenzi ya dhati kwa mwaJ...loljimama tamu...uliskiza ule wimbo siku ile?