Simu alikuwa nayo mama sharoni!

Atakuwa kamsevu 'battery law' sasa masharon akicheki screen anajua ni battery law, kumbe loooh shemu anapiga! Mambo ya simu jamani ni kichefu chefu!

SL mbona wakoleza? Haiwezi kuwa ivo,kuna thread nililetaga hapa kuhusiana na hiyo unayozungumza.
 
pamoja na kwamba mlishazoeshana ila kwa mimi ningeshindwa hayo mazoea. pengine kashachoka kusumbuliwa usiku ndio maana alikuwa hapokei.

Waiting?kusubirishwa na kutotaka kupokea cm kunafanana?
Wa mpwapwa waniangusha
 
Kuhusu jina halina shida. Kanisevu jina zuri tu.
Haya mambo ukitifua tifua utaachana asbh, mchana na jioni!
Mengine potezea tu, jiaminishe ma sharon alichukua simu basi! chimbua chimbua utoke na cha kutoka nacho!
 
asante mke mwenza!
Afu mke mwe' itabidi huyu mkweo tuanze kumtizama na jicho la tatu manake now days 'anshangaza' toka uporoto asafiri kikazi anamchekea chekea sana Nyani Ngabu...tutafanya kikao subiri wifi yetu mpendwa aje.
 
mkuu humo mama sharon huwa anapewa hiyo simu mchana ??? ila huo ni mtihani mkubwa sana
 
Afu mke mwe' itabidi huyu mkweo tuanze kumtizama na jicho la tatu manake now days 'anshangaza' toka uporoto asafiri kikazi anamchekea chekea sana Nyani Ngabu...tutafanya kikao subiri wifi yetu mpendwa aje.

sijawahi kuchekewa mimi. au we unamzungumzia hamisi kishondindo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom