Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Leo usiku wa saa8 nilistuka toka usingizini,kwa kuwa huwa na mazoea ya kumpigia simu mpenzi wangu muda wowote,nikaona si vibaya kumpigia simu na kuzungumza naye(ikumbukwe ni kawaida yetu).
Baada ya kupiga simu yangu ikawa imesubirishwa(waiting),zaidi ya masaa mawili kila nikipiga bado nawekwa waiting,nikatuma msg kimya.baadae nikatuma msg ya pili nikamwambia "NADHANI MWISHO WETU UMEFIKA SIWEZI LAZIMISHA SANA"
Hapo baada ya dk 5 kupita akanipgia simu na kuanza nambia,cjui nikwambie nini ili unielewe? Ila ukweli simu alikuwa nayo mama sharoni(ambae ni mfanyakazi wake wa ndani).na kujitetea kuwa mama sharoni hana line ya "sote ni ndugu" ndo mana akawa amempa aitumie simu yake. Kwangu haiclik kichwani na nipo njia panda.
Nimjibu nini?
Natanguliza shukrani zangu.