Simtank ya Lake Plastics ni bora?

Simtank ya Lake Plastics ni bora?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,467
Reaction score
11,549
Nipo kwenye mipango ya kununua Simtank, jiran yangu kuna harware yeye hana simtank nyingne zaidi ya lake, je hayo ni mazuri? Maana mimi nilisikia kiboko ndio imara zaidi.

Mliowahi kitumia nawasubiri hapo chini.

Screenshot_20260209_223818_Chrome.jpg
 
kama unanunua kati ya lita 500 hadi 3000, chukua lolote; Ila kama unachukua kubwa kuanzia lita 5000 HADI 10,000 hivi ndio unatakiwa uwe mwangalifu.
Muhimu pia; Ili Tank la maji lidumu, linatakiwa likae kwenye kivuli au kama hakuna kivuli lisikae bila maji muda mwingi
 
kama unanunua kati ya lita 500 hadi 3000, chukua lolote; Ila kama unachukua kubwa kuanzia lita 5000 HADI 10,000 hivi ndio unatakiwa uwe mwangalifu.
Muhimu pia;
Ili Tank la maji lidumu, linatakiwa likae kwenye kivuli au kama hakuna kivuli lisikae bila maji muda mwingi
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom