Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

"Hithabati".. Pumbav sema Hisabati... "Hithabath" shwain Mkubwa wee sema haya sema Math, "mase baba! " we Mtoto nilikuokota Nini sema Hesabu.. "Isab..."
 


mkuu natanguliza samahani zangu nyingi sana na usumbufu wowote niliosababisha.
Jibu ni 12 na si 6 kama nilivyosema mwanzo.

Na kama itahitajika niko tayari kueleza kwa faida ya wale wa jibu 6 kama mimi kwanini nimebadili matokeo. Pamoja sana

 
mkuu hesabu si miujiza hata kidogo, nionyeshe umepateje 12, umetumia misngi upi wa kihesabu then i will rest my case, simple.

hivi -3+3 jibu ni ngapi ?
 
hivi -3+3 jibu ni ngapi ?

wewe ndugu yangu naona uko kwenye kejeli sasa.

Pia unaweza ukawa sawa na jibu la ile hesabu pale juu ila uwezo wako mdogo sana wa kuweza kueleza kwanini umepata hilo jibu.

Mjadala umeshafungwa jibu la hesabu ya nduki ni 12.
 
Alama ya kutoa inatumika mwisho, rejea MAGAZIJUTO.

Ndio maana mwishoni tunakuja kutoa 3.

3+(3x3)+3-3
3+9+3-3
(3+9+3)-3
15-3=12
Jibu = 12.
 
wewe ndugu yangu naona uko kwenye kejeli sasa.

Pia unaweza ukawa sawa na jibu la ile hesabu pale juu ila uwezo wako mdogo sana wa kuweza kueleza kwanini umepata hilo jibu.

Mjadala umeshafungwa jibu la hesabu ya nduki ni 12.

Nikufanulie kwamba hesabu imekuwaje ikawa 12.
 

jibu ni sita(6) tatizo wengine wanaenda kwa order badala ya kutumia hiyo bodmas
 
Jibu ni 12 mkuu sio 6.

swali halijazingatia kanuni za kihisabati hivyo majibu yote yaliyoandikwa siyo sahihi. Mathalani swali lilitakiwa liwe hivi
3+(3x3 )- (3+3)= au (3+3)x(3 - 3)+3= n.k.
 
Jibu ni 12 mkuu sio 6.

Kirefu cha BODMAS ni Bracket of division, multiplication, addition ,subtraction. Mkuu Nduki hebu twende pamoja taratiiiibu. Ukipewe equation kama uliyotuwekea unatakiwa uweke bracket na uanze kwanza kugawanya kama ipo, halafu ndio uzidishe halafu ujumlishe na mwisho ndio utoe. Kwahiyo 3+3*3-3+3=3+(3*3)-(3+3)=(3+9)-6=6. Narudia tena jibu ni 6 na sio 12, full stop
 
wewe ndugu yangu naona uko kwenye kejeli sasa.

Pia unaweza ukawa sawa na jibu la ile hesabu pale juu ila uwezo wako mdogo sana wa kuweza kueleza kwanini umepata hilo jibu.

Mjadala umeshafungwa jibu la hesabu ya nduki ni 12.

khe khe khe khe khe
haya mwenye uwezo mkubwa hadi mambo madogo yanakushinda
 

hayo mabano umepata wapi mbona unajitungia maswali ??
 
Jibu ni kumi na mbili. Aliefanya hesabu hapo juu. Anatatizo kwenye upande wa hasi na chanya. -3+3=0 na sio 6 kama alivoweka kwenye solution yake
 

hesabu ni janga katika taifa hili. ha ha ha.
 
Nope,ukikuta mahali kuna matendo zaidi ya moja then hakuna mabano then kuna kitu kinaitwa "OPERETORS AT THE HIGHER LEVEL OF PRECEDENCE ARE EVALUATED FIRST" then ndo unakuja operator of the same level are operated from left to right...sasa operator of the highest level ni * na / ; + na - ni operator of the lowest level
 
Kwakanuni yako je ukipewa 4*9/3 jibu litakuwa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…