Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

Simple math's hii hapa,jibu ni ngapi?

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,440
Reaction score
2,450
Maths-Picture-Riddle.jpg
 
MAGAZIJUTO jibu = 12
MFUKUZI kashashuka hapo juu lakini naona order hailazimishi addition kabla ya subtraction.
 
Last edited by a moderator:
Ulichokosea ni pale ulipo chukua
-3+3 = -6badala ya
-3+3=0. rudia tena

Hapo ndipo nawewe ulipochemka!! Kwenye BODMAS huwezi ukasubstute kabla huja-add

Kwenye hesabu negative(-) n hasi kwa maana ya deni au kutoa.. sasa kwa formular huwezi uka-apply postive na negative.. maana wakati mwingine itakulazimisha usubstitute kabla ya kufanya addition!!

Pitieni upya BODMAS
 
Assume hii hesabu ingekuwa hivi

3+3x3-(3+3)=

Jibu n ngapi hapo!!?

Kuna link hapo juu nimeweka inaonesha addition and subtraction hakuna chenye precedence, unaenda na left to right tu.

I thought addition had precedence.

This makes the difference between the answer of 6 (addition takes preference) and 12 (just left to right).

Hii ndiyo tofauti ya watu wanaopata 6 na 12.
 
Assume hii hesabu ingekuwa hivi

3+3x3-(3+3)=

Jibu n ngapi hapo!!?
hapo ngumu sababu huwezi kuiwekea braket hizo na kuiacha -ve nje, na pia huwezi kuiacha braket kwenye times....
 
Kuna link hapo juu nimeweka inaonesha addition and subtraction hakuna chenye precedence, unaenda na left to right tu.

I thought addition had precedence.

This makes the difference between the answer of 6 (addition takes preference) and 12 (just left to right).

Hii ndiyo tofauti ya watu wanaopata 6 na 12.

The standard approach is BODMAS so the right answer is 6.
 
hapo ngumu sababu huwezi kuiwekea braket hizo na kuiacha -ve nje, na pia huwezi kuiacha braket kwenye times....

BODMAS (magazijuto) means brackets but should be in the following order: 1st division, 2nd multiplication, 3rd addition, 4th substraction
 
Back
Top Bottom