Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

Boss kagoshima Unaelewaje hizi Kauli mbili aka 2 ??? !!!
1. Ole wenu Mkurugenzi na Wasimamizi, mtangaze Upinzani ... Mishahara nawalipa mimi, magari nawapa mimi ... endelea ...
2. Chaguzi za Serikali za Mitaa ... tulishinda kwa 99.9%, Uchaguzi Mkuu tutashinda kwa 100%.

Mwisho, Kwa mfano tu, CCM ije kushinda kwa 100% ina maana gani ??? !!! Si Chama kimoja ndicho kimeshinda???? !!!
Hauoni ndio Mfumo wa Chama Kimoja Indirect??? !!!
Hapana hiyo siyo kutupeleka chama kimoja. Kumbuka kitakachofanyika October ni matakwa ya mtu mmoja. Mwenyekiti wa CCM ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa kukubalika. Anataka ionekane anakubalika. Whatever the outcome upinzani ndani ya wananchi utabaki underground ukisubiri the right time uibuke tena . ndo maana nimesema vifutwe kisheria kitu CCM haiwezi kufanya
 
Mkuu huo uchaguzi ambao CCM walipata ushindi wa kishindo wa asilimia 99.9 ulifanyika mwaka gani? na ulikuwa ni uchaguzi wa nini?.
Sio kila anachoandika pasiko anamanisha, paschal ni verified hawez kutoa mawazo yake huru mojamoja anafahamu atashughulikiwa ni lazima aongee kwa kufumbafumba ili asiwakele makuburu weusi, tupo wachache tunaomwelewa paschal, paschal si muumini wa siasa chafu.
 
CCM ndio hii inatawala milele na maendeleo haya ya kuonekanika tunayaona, ndege huzioni?, barabara za juu kwa juu huzioni?, SGR huioni, Stigler kazi imeanza, stagnation gani unayoizungumzia wewe wakati tunapaa na Tanzania ya viwanda?.
P
Mkuu Pascal . tangu miaka 50 ya utawala wa CCM Tanzania bado ina matazo makubwa ya Barbara mijini na vijijini, maji mijini na vijijini, umaskini mkubwa mijini na vijijini. Elimu duni, huduma za afya duni. Huduma za mhimu hizo bado hali ni mbaya halafu utuambie ndege ni maendeleo? . Maendeleo ni mjumuisho wa mambo mengi ikiwemo democracia na uchumi shirikishi.
 
Boss kagoshima Baada ya Uchaguzi Mkuu 2020, Tunarudi kwenye Mfumo wa Chama Kimoja, Hakuna Mpinzani atakayepewa Jimbo, Yaani tunashinda 100 % kwenye Udiwani, Ubunge na Urais. Jiandae Kisaikolojia Boss.

Kwani kuna Mtu au Watu ... Wanateseka?
Kama katiba ya nchi ina ruhusu vyama vingi upinzani utakuwepo. Hoja ni kwenye kiwango na ngazi gani cha uwakilishi. Urais itachukua miaka mingi kuitoa CCM kwa sababu hakuna chama imara chenye muundo, utawala na usimamizi wa ki taasisi imara. CDM na ACT kwa mtazamo wangu ni vyama vyenye falsafa na sera nzuri sana. Tatizo hushindwa kutafisiri na kutekeleza vyema katiba zao. Vyama hivi vitaendelea kuwepo kwenye uwakilishi wa ngazi za ubunge na udiwani. Je ilichukua miaka mingapi vyama vya Republican na Democratic USA na Conservative na Labour UK kuwa de facto political parties? Nadhani klichowezesha ni serikali na vyombo vyake kutotumika kwenye uga wa siasa.
 
Wanafyata mkia kwa Magufuli,lakini Magufuli anaufyatua kwa mabeberu kwakuwa anatambua kuwa maisha bila mabeberu haiwezekani,barabara zote zinazojengwa zinajengwa kwa msaada wa mabeberu, reli inayojengwa ni kazi ya mabeberu, kiwanja cha ndege Chato ni kazi ya mabeberu, daraja la kigamboni kazi ya mabeberu, ni juzi tu mabeberu wamepiga chafya ya kuzuia mkopo wao Lumumba yote iliweweseka kiasi cha kutaka kumtoa roho Zitto.
Endelea kujidanganya ila elewa kwamba Magufuli amewashika mabeberu sehemu mbaya
 
Kwa Magufuli
Mabeberu wote duniani watasalimu amri
Thubutu! Ameshaanza kunyong'onyezwa na kina Pompeo! Hawana utani na huziishi kauli zao hao watu! Ajaribu ujinga Kama hajamfuata Al Bashir kule the Hague! Tuna hili bandiko litakufaa kujikumbusha utokako!
 
Magufuli ni kiski cha mpingo. Mabeberu wote duniani wanafyata mkia kwa Magu
Sasa kule kulilia mkopo wa elimu na kuwahukumu wengine kifo ni kujimbwafai sio? Kama kweli wameufyata mwambie makonda aende Marekani leo apime kauli ya Pompeo inavyofanya kazi ndio utajua nani kaufyata!
 
Boss kagoshima Baada ya Uchaguzi Mkuu 2020, Tunarudi kwenye Mfumo wa Chama Kimoja, Hakuna Mpinzani atakayepewa Jimbo, Yaani tunashinda 100 % kwenye Udiwani, Ubunge na Urais. Jiandae Kisaikolojia Boss.

Kwani kuna Mtu au Watu ... Wanateseka?
Nasikia zile semina zenu elekezi kwa wasimamizi wa uchaguzi zinazofanyika kule magogoni jumba jeupe karibia zitaanza. Mtu anayejigamba anakubalika na wananchi lakini bado analeta wizi kwenye uchaguzi, huo ni uwendawazimu.
 
Sasa kule kulilia mkopo wa elimu na kuwahukumu wengine kifo ni kujimbwafai sio? Kama kweli wameufyata mwambie makonda aende Marekani leo apime kauli ya Pompeo inavyofanya kazi ndio utajua nani kaufyata!
Mwezi ujao Bashite atakuwa New York kuonana na Diaspora
 
Back
Top Bottom