Mkuu Kagoshima, wananchi wepi hao unao wazungumzia wanaotaka chama mbadala wa CCM?.
Kipimo cha wananchi kutaka chama mbadala ni kipi?.
Tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, chama kipate ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% halafu useme watu wanataka chama mbadala. Kipimo pekee cha sauti ya watu ni kupitia kwenye sanduku la kura, natumaini kazi nzuri kwenye serikali za mitaa umeiona, October inakwenda kukamilika kwenye uchaguzi mkuu na wembe uliotumika kunyolea kwenye serikali za mitaa, unakwenda kutumika kwenye uchaguzi mkuu!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...
www.jamiiforums.com
P