Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

WEWE VIPI? JE UNAVAA WIGI?
 
umesahau push up bra 😀
 
Herufi Kubwa Njoo inbobo tuyajenge labda tunaweza kuendana U never know!! Sifugi ndevu
 
Mie sipendi kabisa wanawake wanaovaa nywele za bandia za wahindi na wazungu wa Brazil, hivyo sijawahi kuwa nao, kwa hiyo na wewe tafuta mwanaume mwenye tako usoni tuache siye wenye ndevu tunapendwa na wengi zaidi.
 
Olewana wamaasai, hao ndio hawana ndevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…