Simpendi faizafoxy...sijui kwanini


Vipi kuhusu huyu andunje aliepitishwa kugombea ina maana humkubali???
 
Kwi kwi kwi teh teh teh wengi sana wako kama wewe, hiyo ni sifa kwangu.

Nimefundishwa kuandika kiume humu humu JF.

faiza foxy nampenda sana ingawa mimi ni mkristo ana msimamo thabiti sana hapendi kuteteleshwa kabisa.
hivi una miaka mingapi mama yangu
 
Last edited by a moderator:
Uislam umenifundisha kuwa Muislam haukunifundisha kuwa Sunni wala Shia.

Qur'an 2:208. Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi. ***



Naona ustaadhina unavyojikimbia mwenyewe .

Anyway welcome back mfumokristo.
 
faiza foxy nampenda sana ingawa mimi ni mkristo ana msimamo thabiti sana hapendi kuteteleshwa kabisa.
hivi una miaka mingapi mama yangu

= kutetereshwa

Katika mambo ya "ethics" niliyowahi kuyasoma kuwa yanafundishwa "Sunday School" ni "never ask anyone how old is he/she".

Hujapitia Sunday School?
 
Amekubania nn?

Abaniwe nini huyo hata ya kuanuliwa hayawezi?

Huyo Mchagga, si unajuwa hata wanawake wakichagga wameomba Wakenya waende wakawashughulikie, wachagga hawana uwezo, sababu kubwa ni kula mtori, pombe na ndafu zinawapunguzia nguvu za kiume.

Wale, papa, wali, kisamvu, mhogo, pweza, samaki waone khabar zake.

Mhogo na kisamvu nnasikia kwao mwiko! Na wale Wamasai nnasikia kwao samaki mwiko!

Ndiyo maana wanashindwa kuzaliana sana, na tarehe 25 October 2015 tunawapiga bao kwa kuwa hawana kizazi cha kutosha!

Hawajamsikia Bi Kidude na Mhogo wa Jang'ombe?
 
Tofauti zetu ziishie kwenye misimamo yetu tu,hakuna sababu ya kuchukiana.
 
Tofauti zetu ziishie kwenye misimamo yetu tu,hakuna sababu ya kuchukiana.

Huyo mleta mada chuki zake kwangu zilikuwa ni kwa sababu ya mimi kusema kila kukicha kuwa Slaa hafai kuwa kiongozi na ndiyo maana nnamuuliza, jee bado tu ananichukia? Au ameuona ukweli?
 
Mama anajifanya mjuaji sana, lakini bahati mbaya hajui kitu. Sasa yupo kwenye meno pause
 

Sasa hizi dharau wewe inaonekana una machungu na wachaga si vinginevyo hamia huko kama vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…