...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

huyu madame ni hatari kama messi wa barcelona.
umeonaee!! mijitu mingine sijui ikoje!!Kujipendekeza kuko kwa aina nyingi, hii nayo ni mojawapo
Ni kichwa cha ukweli...I think FaizaFoxy na AshaDii hawashikiki! Mi napenda kila kitu kutoka kwao!😛eace:huyu madame ni hatari kama messi wa barcelona.
umeonaee!! mijitu mingine sijui ikoje!!
Ni kichwa cha ukweli...I think FaizaFoxy na AshaDii hawashikiki! Mi napenda kila kitu kutoka kwao!😛eace:
kwa kila kitu!!!hawashikiki kwenye nini??