Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

Unajua Mwigulu ni mfugaji, na maisha ya kusikiliza na kusaidia watu yamekuwa sehemu ya maisha yake. Nilikuwa nikizungumza na Mnyiramba mmoja akanieleza kwamba zamani, pale nyumbani kwa Mwigulu Misigiri, kulikuwa na watu wengi wenye shida binafsi waliokuwa wakifika kutafuta msaada—wakidaiwa kufika zaidi ya watu 1,000 kwa siku—na kwamba alikuwa akiwapatia muda wa kuwasikiliza.

Hii inaonyesha kwamba tabia ya kusikiliza wananchi na kushughulikia changamoto zao haikuanza alipokuwa Waziri Mkuu. Tofauti ni kwamba wakati huo hakukuwa na kamera na mitandao ya kijamii iliyokuwa ikirekodi na kusambaza kila tukio kama ilivyo sasa. Leo, akiwa Waziri Mkuu, matukio mengi ya namna hiyo yanaonekana hadharani kupitia mitandao na vyombo vya habari.

Kwa hiyo, jambo la kujiuliza si kama tabia hiyo imeanza kwa sababu yuko kwenye nafasi kubwa, bali kama ni sehemu ya mwenendo ambao amekuwa nao kwa muda mrefu. Kama simulizi hizi za watu zinaweza kuthibitishwa, zinaweza kutumika kueleza tofauti kati ya tabia ya muda mrefu ya mtu na mwenendo unaotokana na nafasi anayoshikilia sasa.
Gawanya masaa 24 kwa siku kwa watu 1,000 kisha uone aliwezaje kusikiliza watu hao kwa siku.Acheni siasa za kitoto. Muombe akupe kazi kwenye mabus yake ya Esther Luxury coach, hapa unajidhalilisha tu.
 
View attachment 3672626

Ziara ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Simiyu imekonga mioyo ya wana-Simiyu. Katika mazungumzo na wananchi mbalimbali, wengi wameeleza kuvutiwa na namna Waziri Mkuu anavyokemea uzembe na wizi, pamoja na kusisitiza hatua za kubana matumizi ili fedha hizo zielekezwe katika shughuli za maendeleo.

Kwa upande mwingine, wananchi hao wamesema utatuzi wa kero za wananchi papo kwa papo umesaidia wanyonge kupata haki zao. Kwa mtazamo wao, wameuita huo ni “Umagufuli mtu.”

Mmoja wa wananchi hao ananukuliwa akisema:

“Tumepata Magufuli mpya hapa. Haya tunayoyaona mbele ya macho yetu yanatukumbusha ule uongozi wa kusimamia haki na kukemea uzembe. Ona Maswa, wanyonge wamepata haki yao. Ona Bariadi na Itilima, tumeshuhudia kwa macho yetu.

Kuna baadhi ya watendaji ambao wamekuwa wakiwadhulumu wananchi na kuwanyima haki zao kwa makusudi. Lakini Waziri Mkuu anapofika, anawasikiliza wananchi, anachukua hatua na kutatua kero zao papo kwa papo. Huu ndio umagufuli wenyewe.

Sisi wananchi tumeona kwa macho yetu. Tumepata Magufuli mpya hapa. Huyu ni kiongozi anayesimama upande wa wanyonge na kutetea haki zao. Huyu ndiye Mtetezi wa Wanyonge.”

Tunajua haya ambayo tumeanza kuyasikia kwamba magenge yenye nguvu hayamtaki Waziri Mkuu na yanapambana kuhakikisha anaondoshwa au kumdhibiti kuelekea 2030. Tuseme tu, sisi wanyonge tutamwombea kwa Mungu.

Huyu ndiye Mtetezi wa Wanyonge.
ACHA UJINGA
 
wakidaiwa kufika zaidi ya watu 1,000 kwa siku—na kwamba alikuwa akiwapatia muda wa kuwasikiliza.
Tuseme anawasikiliza kutwa nzima tangu asubuhi hadi jioni bila break ya chai wala lunch:

Watu 1000 ÷ saa 12 = watu 83 kwa kila saa moja..

Huo si ni UONGO wa wazi??

Machawa mnakera na hizi propaganda zisizo tekelezeka !!
 
Mitutusa si iliambiwa na kale kamalaya da mange kuwa aliwekewa sumu na abduli na yenyewe ikaamini
Ni mpaka juzi alivyoaanza kuifukunyua Chadema ndio mmejua ni kamalaya pesa mbele
 
Mtoa thread unakuja na ID tofauti kwenye uzi mmoja. unaandika thread na ku comment mwenyewe post no. 4.

Mwigulu ni fala mmoja mzuri sana, muigizaji mahiri, fisadi la karne. Wanyiramba si watu wa kupewa madaraka makubwa. Speaking frm experience, natokea kijiji kimoja na huyo muhuni mwigulu.
Mwenyewe nimegundua iko
 
View attachment 3672626

Ziara ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Simiyu imekonga mioyo ya wana-Simiyu. Katika mazungumzo na wananchi mbalimbali, wengi wameeleza kuvutiwa na namna Waziri Mkuu anavyokemea uzembe na wizi, pamoja na kusisitiza hatua za kubana matumizi ili fedha hizo zielekezwe katika shughuli za maendeleo.

Kwa upande mwingine, wananchi hao wamesema utatuzi wa kero za wananchi papo kwa papo umesaidia wanyonge kupata haki zao. Kwa mtazamo wao, wameuita huo ni “Umagufuli mtu.”

Mmoja wa wananchi hao ananukuliwa akisema:

“Tumepata Magufuli mpya hapa. Haya tunayoyaona mbele ya macho yetu yanatukumbusha ule uongozi wa kusimamia haki na kukemea uzembe. Ona Maswa, wanyonge wamepata haki yao. Ona Bariadi na Itilima, tumeshuhudia kwa macho yetu.

Kuna baadhi ya watendaji ambao wamekuwa wakiwadhulumu wananchi na kuwanyima haki zao kwa makusudi. Lakini Waziri Mkuu anapofika, anawasikiliza wananchi, anachukua hatua na kutatua kero zao papo kwa papo. Huu ndio umagufuli wenyewe.

Sisi wananchi tumeona kwa macho yetu. Tumepata Magufuli mpya hapa. Huyu ni kiongozi anayesimama upande wa wanyonge na kutetea haki zao. Huyu ndiye Mtetezi wa Wanyonge.”

Tunajua haya ambayo tumeanza kuyasikia kwamba magenge yenye nguvu hayamtaki Waziri Mkuu na yanapambana kuhakikisha anaondoshwa au kumdhibiti kuelekea 2030. Tuseme tu, sisi wanyonge tutamwombea kwa Mungu.

Huyu ndiye Mtetezi wa Wanyonge.
Gazeti gani linamposst mtu mmoja ukurasa mzima, alafu AI tupu

Usimfananishe mzee wetu na vitu vya ajabu ajabu. Muache apumzike baba yetu
 
Kwa maelezo hayo Mwigulu hatufai sisi CCM.Kiongozi mwenye misimamo ya aina hiyo hatufai kama chama.
Ingawa hajaonyesha tabia za Magufuli,lakini anaonekana ana uwezo wa kubadilika akija kuwa Rais.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom