SimbaSc v Black Leopard Live Updates

Baada ya mpira ni burudani pale Msimbazi! Kutana na Simba Modern Taarab!


Sent from my iPhone
 
Na kwa kuonyesha jeuri mnyama kaleta 'la masia' u_20 wale wale azam walitafutana taifa hapa hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hao makinda watakimbia,kweli kabisa nakwambia.
 
Mkuu nilikuwa nakutia presure,lakini kwa hiki kikosi lazima zifike.kabisa simba wanafanya utani sana na mashabiki na mashabiki wamefanya vurugu wakipinga hicho kikosi chao.

Hapo nimekuelewa mkuu lakini kutokana na kocha wa simba kupenda kutumia vijna timu itakuwa imara siku za hivi karibuni baada ya vijana chipukizi kama wakina Miraji, Ramadhani, Edo watakapozoea mfumo wa kocha
 
Paka mweusi timu piga hao Simba 8 bila
 
Hizi dakika 7 za kwanza madogo wameucheza na wamepata kona 4 ambazo hata hivyo wanashindwa kuzitumia.
 
Nilijua hapa tatizo ni uzoefu hawa bado hawana uzoefu tayari wamejila wenyewe,Black Leopard 1-simba 0
 
Paka mweusi timu piga hao Simba 8 bila

Mkuu 8 hazifiki lakini watakiona cha moto leo,hivi kama uko sawa unaweza kwenda kufanya mazoezi Oman,au walikwenda kupumzika kwa ajili ya Maulid kesho???!!
 
Kwa hali ambayo nimeanza kumuona nayo kocha wa simba hapa,kipindi cha pili lazima aingize wazoefu kwa sababu ana nafasi za kufanya sub 5-6
 
Mwanawani unataka kubisha nini!!?? Kwani hujui chui hutim¨´a vibaya mno akimwona SIMBA?? Hakuna kusema wamechoka wala nini, hata sisi tumechoka na safari ndefu kutoka Omani!! Leo ni kichapo tu, hakuna maelezo hapaa!! S-3 Ch-0
 
Eeeeeh huyu Singano kweli ni hatari,anatisha lakini hawei kumshinda Msuva.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…