Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,174
- 2,811
Hii ni mitihani ya level tofauti kwa nyakati tofauti kabisa.Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?
Mm nimetoa tathmini ya jumla ya kila waziri alivyoshughulikia tishio la machafuko.
Ndugu Bashungwa mtihani wake ulikuwa MO29, na Ndugu Simbachawene mtihani wake ulikuwa D9.
Kuhusu nani kafanya vizuri na nani kafanya vibaya, ni juu yako wewe mwanajamvi kuamua.
Huwezi kumpima Bashungwa kwa tukio la Oktoba 29 kipindi ambacho mamlaka za juu yake zilikuwa zimejiandaa kwa lolote na zimejawa na jazba, hasira na kila aina ya hofu kwa kulinganisha na D9 ambapo mamlaka za juu ya Simbachawene zilikuwa kwenye harakati ya kusaka huruma ya nje na ndani, hofu ya kuendelea kutoaminika, na kupoteza madaraka yao.
D9 ilikuwa lazima yafanyike yaliyofanyika kwasababu kilichofanyika ndicho ambacho mamlaka zilikitaka na Mo29 kilifanyika kilichofanyika kwasababu mamlaka zilitaka kifanyike hivyo hivyo