Simbachawene VS Bashungwa: Vijana tumejifunza nini?

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
483
Reaction score
749
Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako.

Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa waziri wakati wa MO29 na mkongwe akiwa waziri wa D9, nimefikia hitimisho kuwa bado ukubwa ni dawa.

Binafsi sio muumini wa wabunge waliokaa bungeni miaka 20, 25 mpaka 30. Nilitamani kazi ya ubunge ingekuwa na ukomo kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.

Lakini jinsi kijana mwenzetu Bashungwa alivyoshughulikia MO29, pamoja na madhila yake yaliyofuata, ukilinganishwa na Simbachawene alivyoshughulikia D9, na utulivyo uliofuata, nadhani kuna wakati vijana tukubali tunachakujifunza kutoka kwa wakongwe waliotutangulia.

Vijana tunapenda madaraka, lakini wakati mwingine yanatuzidi. Cheo kidogo tu mikwara kila kona, mara umefukuza huyu, mara umetukana yule, kule umeweka mtu ndani mwisho ww mwenyewe unageuka kero kwa jamii.

Chukulia mfano wa wakuu wa mikoa, muweke Antony Mtaka kwa upande mmoja na hawa vijana wenzangu kwa upande mwingine halafu tafakari.

Nadhani ingawa tunao vijana wanaofanya vizuri kwenye uongozi, na kwamba tungependa vijana tupewe nafasi zaidi ila bado tunahitaji wakongwe kama akina Lukuvi and the likes kuendelea kuwepo kuturithisha stadi za uongozi.
 
Hivi unafikiri Bashungwa ndio alitoa amri yafanyike yaliyofanyika yeye mwenyewe?
1000089043.png
 
Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kutudia makosa yake.

Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa waziri wakati wa MO29 na mkongwe akiwa waziri wa D9, nimefikia hitimisho kuwa bado ukubwa ni dawa.

Binafsi sio muumini wa wabunge waliokaa bungeni miaka 20, 25 mpaka 30. Nilitamani kazi ya ubunge ingekuwa na ukomo kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.

Lakini jinsi kijana mwenzetu Bashungwa alivyoshughulikia MO29, pamoja na madhila yake yaliyofuata, ukilinganishwa na Simbachawene alivyoshughulikia D9, na utulivyo uliofuata, nadhani kuna wakati vijana tukubali tunachakujifunza kutoka kwa wakongwe waliotutangulia.

Vijana tunapenda madaraka, lakini wakati mwingine yanatuzidi. Cheo kidogo tu mikwara kila kona, mara umefukuza huyu, mara umetukana yule, kule umeweka mtu ndani mwisho ww mwenyewe unageuka kero kwa jamii.

Chukulia mfano wa wakuu wa mikoa, muweke Antony Mtaka kwa upande mmoja na hawa vijana wenzangu kwa upande mwingine halafu tafakari.

Nadhani ingawa tunao vijana wanaofanya vizuri kwenye uongozi, na kwamba tungependa vijana tupewe nafasi zaidi ila bado tunahitaji wakongwe kama akina Lukuvi and the likes kuendelea kuwepo kuturithisha stadi za uongozi.
Acha upotoshaji usio na tija, kilichofanyika 29 ni maagizo ya rais na genge lake, ila sidhani kama alitegemea mauaji yangekuwa ya kiwango kile. It has nothing to do with age.
 
Vijana watanzania ukiwaangalia wanavyoongoza , wanavyoshughulikia mambo utakubaliana nami bora wazee kuliko vijana 🤣
 
Innocent ni waziri wa ovyo tu kwa wizara kadhaa alizoshika alionesha hatoshi. Ila kwa kesi ya mo29 inno asiwe mbuzi wa kafara. Order za reaction ipi ichukuliwe siku ya mo29 ilitoka kwa mamlaka zilizokuwa zimemuweka inno pale alipokuwa.
 
Acha upotoshaji usio na tija, kilichofanyika 29 ni maagizo ya rais na genge lake, ila sidhani kama alitegemea mauaji yangekuwa ya kiwango kile. It has nothing to do with age.
Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?
Mm nimetoa tathmini ya jumla ya kila waziri alivyoshughulikia tishio la machafuko.
Ndugu Bashungwa mtihani wake ulikuwa MO29, na Ndugu Simbachawene mtihani wake ulikuwa D9.
Kuhusu nani kafanya vizuri na nani kafanya vibaya, ni juu yako wewe mwanajamvi kuamua.
 
Vijana hawastahili vyeo vya maamuzi sababu wanaendekeza uchawa wakilenga kujenga kesho yao kisiasa!

Chawene kaingia tu na kuzungumzia suala tunalolilalamikia siku nyingi kuhusu ukamataji wa polisi!!

Hao wazee hawana cha kupoteza!!
 
Kipindi cha mo 29 bashungwa hakuwa waziri wala bunged alikuwa akisubiri matokeo ya uchaguzi nyumbani kwake

Post ya kifala
 
Kwahiyo uwaziri wa Bashungwa ulikoma lini?
Hii ni hatari, kama Octoba 29 hatukuwa na serikali!
Mm nilijua serikali inamaliza muda wake siku bendera ya Rais inaposhushwa na Rais mpya kuapishwa.
 
Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako.

Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa waziri wakati wa MO29 na mkongwe akiwa waziri wa D9, nimefikia hitimisho kuwa bado ukubwa ni dawa.

Binafsi sio muumini wa wabunge waliokaa bungeni miaka 20, 25 mpaka 30. Nilitamani kazi ya ubunge ingekuwa na ukomo kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.

Lakini jinsi kijana mwenzetu Bashungwa alivyoshughulikia MO29, pamoja na madhila yake yaliyofuata, ukilinganishwa na Simbachawene alivyoshughulikia D9, na utulivyo uliofuata, nadhani kuna wakati vijana tukubali tunachakujifunza kutoka kwa wakongwe waliotutangulia.

Vijana tunapenda madaraka, lakini wakati mwingine yanatuzidi. Cheo kidogo tu mikwara kila kona, mara umefukuza huyu, mara umetukana yule, kule umeweka mtu ndani mwisho ww mwenyewe unageuka kero kwa jamii.

Chukulia mfano wa wakuu wa mikoa, muweke Antony Mtaka kwa upande mmoja na hawa vijana wenzangu kwa upande mwingine halafu tafakari.

Nadhani ingawa tunao vijana wanaofanya vizuri kwenye uongozi, na kwamba tungependa vijana tupewe nafasi zaidi ila bado tunahitaji wakongwe kama akina Lukuvi and the likes kuendelea kuwepo kuturithisha stadi za uongozi.
Pumba tupu.
 
Vijana hawastahili vyeo vya maamuzi sababu wanaendekeza uchawa wakilenga kujenga kesho yao kisiasa!

Chawene kaingia tu na kuzungumzia suala tunalolilalamikia siku nyingi kuhusu ukamataji wa polisi!!

Hao wazee hawana cha kupoteza!!
Jamaa ni mkomavu sana! Pamoja na tishio kubwa la maandamano ya D9 sikumsikia akipiga mkwara hata mara moja. He was calm, composed and focused. Nadhani anaweza saidia kupunguza malalamiko ya wananchi dhidi police
 
Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?
Mm nimetoa tathmini ya jumla ya kila waziri alivyoshughulikia tishio la machafuko.
Ndugu Bashungwa mtihani wake ulikuwa MO29, na Ndugu Simbachawene mtihani wake ulikuwa D9.
Kuhusu nani kafanya vizuri na nani kafanya vibaya, ni juu yako wewe mwanajamvi kuamua.
D9 isingewezekana kufanya mauwaji tena hii inatokana na kilichowahi kutokea October haihusiani kabisa na hiyo nafasi ya uwaziri,from now on hata awe Mafuele hawezi tena kuuwa. Usijidanganye hawalali hawa,ngoma nzito hii,anyway haijaisha busara ni kuachia ngazi kama alivofanya Bongo zozo.
 
Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?
Mm nimetoa tathmini ya jumla ya kila waziri alivyoshughulikia tishio la machafuko.
Ndugu Bashungwa mtihani wake ulikuwa MO29, na Ndugu Simbachawene mtihani wake ulikuwa D9.
Kuhusu nani kafanya vizuri na nani kafanya vibaya, ni juu yako wewe mwanajamvi kuamua.
Tatizo lako wewe umeleta ulinganishi usio na mashiko mkuu. Kuwapima hao watu kwa kuangalia ya MO29 na D9 haiwezi kuleta matokeo sahihi. Hata hivyo, uzi wako umekaa kama kuna mkakati wa kutaka kumbebesha Bashungwa mzigo wa yaliyotokea October 29.

Hakuna bora nimewahi kuliona kwa Bashungwa lakini kumpima kwa ya October 29 itakuwa dhambi.
 
Kama unahisi Bashungwa ndio alimlisha kuua utakuwa unamkosea, kwaiyo hadi sasa ujajua nani alitoa amri ya shoot to kill?
Bashungwa ni scapegoat, Simbachawene hatodumu iyo wizara maana IGP, ZCO na wengine wana report magogoni moja kwa moja.
Refer maelezo yakutotekana alisema Simbachawene, kesho yake watu wanatekwa kama kawaida.

Tuishi apite labda tutapata mwenye ubinadamu 2030 lakini huyu tutalia machozi ya damu hadi tukome.
 
Back
Top Bottom