Usihangaike na CV Ya Mh. Simbachawene cha zaidi ni Degree ya sheria toka chuo kikuu huria, lazima atakuwa ni kichwa au degree zenyewe za chuo hicho ni nyepesi kwa sababu wakati anajisomea chuo hicho huria alikuwa ni mpiga debe katika mabasi ya shemeji yake George Chove , mabasi ya urafiki. Alikuwa akipiga debe lake Stand ya zamani Dodoma pale Nyuma ya SIDO. Alichokuwa anawaudhi wasafili ni ile tabia yake ya kuwahi mizigo ya abiria na saa ingine kuwabeba na kuwaingiza katika basi lake la Urafiki hasa wanawake alikuwa anawabeba akiwashika sehemu zingine ambazo walikuwa hawapendi,
Siku moja mpiga debe mwenzie akiitwa Gerard alisagwa na basi siku hiyo Simbachawene alilia kama motto mdogo. Hata hivyo wadau wengi hawashangai sana kwani Josep Starling alikuwa shoe shiner hadi Rais wa Urusi ile ya zamani kabla ya kusambalatishwa na marekani.

Kwa hali ilivyo sauti itamkauka na abiria wataendelea kushuka kutoka kwenye basi lao!Kama taarifa hii ni ya kweli,basi huyu bwana atakuwa ni mpiganaji wa kweli wa maisha kwa sababu hata wakati anagombea ubunge alifanya kampeni ambayo ilimfikisha maeneo yote aliyokulia na walimpatia kura zao.na huenda wote wanaijua historia yake hiyo na walimpa ubunge wakitarajia ni mtoto wa maskini.
Tatizo linaanzia pale alipoingia bunngeni na kurudia kazi yake ya zamani ya upiga debe,safari hii akipigia debe basi moja linaloitwa ccm na dereva wa basi hilo anaitwa jakaya kikwete.pia kampuni hiyo ina ofisi yake kuu ya booking pale chimwaga Dodoma.
Sasa amepata promo ya kuukwaa ukuu kupitia kampuni hiyo ingawa nayo inaonekana kuyumba kama ile ya mjomba wake ambayo kwa sasa imefilisika kama hii ccm ilivyoanza kufilisika..kama lile la kenya ambalo lilipata ajali siku nyingi maarufu kama kanu.
kusema ukweli naamini george anaweza kuleta something different he seems to be strategic
Hadithi hii kakufundisha nani??!!Usihangaike na CV Ya Mh. Simbachawene cha zaidi ni Degree ya sheria toka chuo kikuu huria, lazima atakuwa ni kichwa au degree zenyewe za chuo hicho ni nyepesi kwa sababu wakati anajisomea chuo hicho huria alikuwa ni mpiga debe katika mabasi ya shemeji yake George Chove , mabasi ya urafiki. Alikuwa akipiga debe lake Stand ya zamani Dodoma pale Nyuma ya SIDO. Alichokuwa anawaudhi wasafili ni ile tabia yake ya kuwahi mizigo ya abiria na saa ingine kuwabeba na kuwaingiza katika basi lake la Urafiki hasa wanawake alikuwa anawabeba akiwashika sehemu zingine ambazo walikuwa hawapendi,
Siku moja mpiga debe mwenzie akiitwa Gerard alisagwa na basi siku hiyo Simbachawene alilia kama motto mdogo. Hata hivyo wadau wengi hawashangai sana kwani Josep Starling alikuwa shoe shiner hadi Rais wa Urusi ile ya zamani kabla ya kusambalatishwa na marekani.
Mkuu nimefarijika mleta mada amejijibu mwenyewe kwamba unaweza ukawa shoe shiner lakini ukaishia kwenye Urais. Simba alikuwa mpiga debe lakini akaonyesha juhudi hadi kupata degree na sasa anasoma degree ya uzamili katik utawala. Hizo ni juhudi za kupigiwa chapuo tusibweteke tukijiwezesha tunaweza.
Hata mimi imani yangu ni kwamba Simbachawene anaweza kutuletea kitu. Shilingi yangu naitupa kwake.