SIMBACHAWENE: Sikufumaniwa

Pigo lingine kwa chadema, uongo na uzushi ndio uliowajaa vinywani mwao.
yaani huu upuuzi unauita pigo??
we tyari ushaamini sio kweli kua simba chawene hakufumaniwa??
hujaona contradiction kati ya maelezo ya simbachawene kua kuna mtu alifumaniwa lankini
RPC anadai hakuna tukiao kama hilo katika mkoa wake mzima??
hili ni pigo kwako wewe sio chadema.
 
Huyu kamanda bure kabisa tukio ni kweli limetokea ila siyo mheshimiwa unaposema hakuna tukio kama hili tumweleweje?

Toka jana unaona limetokea, ushahidi wa maneno ukawa kapigwa panga la mkono, leo Simbachawene anasema jana alikuwa Karatu na kawavulia shati muhakikishe hakuna alipokatwa na panga wala kiwembe, sasa tuamni uzushi bila ushahidi?

Weka ushahidi kama unao. Magwanda mmezowea kupakaza na kusema uongo na majungu. Aliyeleta ile mada humu kwa mara ya kwanza ajitokeze na kujitaja na akatowe ushahidi vyombo vya habari, anaogopa nini? na kama ni mkweli kwanini anajificha nyuma ya uongo?
 
Kwani wewe una uhakika gani kama simbachawene hajahonga vyombo vya habari?

Angalia Scenario hii toka kwa Lissu

Hata hivyo, Mbunge Christina Lissu, alisema anashangazwa na taarifa za yeye kuhusishwa kueneza uvumi huo.

Alisema walikutana na Naibu Waziri huyo, katika hoteli hiyo, wakiwa wanatoka mkoani Tabora katika kesi na wabunge wa Chadema, Conchesta Rwamlaza, Philipa Muturano na John Mrema ambaye ni Mkurugenze wa Bunge na Halmashauri ya chama hicho.

" Tulipofika Singida nilimwoa Simbachawene nimwita jina, alitufuata na kutununulia vinywaji hapo hotelini," alisema Lissu na kuongeza;

"Hata tulipofika hoteli, baada ya muda tukasikia kutoka kwa mmiliki wa hoteli akisema kuna watu wanataka kumharibia biashara. Tulipomuuliza kulikoni? Akasema kwani hamna habari si mmewaona Polisi wakati mnaingia hapa, huku akisema kuna kigogo wa Serikali amefumaniwa na mke wa askari."

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Linus Sinzumwa alipoulizwa na Mwananchi Jumapili alisema hakuna tukio kama hilo lililotokea mjini Singida wala mahali popote katika mkoa huo.????
 
Rushwa haita isha Tanzania maana kama Vyombo vya Habari vinapotosha ukweli.lakini sina uhakika wa uvumi hulio jitokeza.
 
Pigo lingine kwa chadema, uongo na uzushi ndio uliowajaa vinywani mwao.

Akili yako fupi sana ndugu yangu. Kama Simbachawene (aliyelala hotelini hapo) amesema tukio limetokea, kamanda wa polisi anakanusha ujue tukio limetokea na muhusika ni Simbachawene ila kamanda kapokea maagizo/rushwa ili afunike kombe. Kamanda angeeleza kuwa tukio limetokea lakini Simbachawene hakuhusika ningeelewa. Huwezi kusema Simbachawene na Mmiliki wa hoteli wote ni waongo kwa kusema kuwa tukio lilikutokea kwani wao ndio walikuwa hotelini hapo tofauti na mkuu wa polisi. Mkuu wa polisi kwa kauli yake inathibitisha kuwa tukio limetokea na Muhusika ni Simbachawene ndio maaana anaficha ijapokuwa kwa akili zake fupi akakanusha kutokea kwa tukio zima akidhani kuwa ndio anajenga kumbe atawadanganya mabongolala wenzake tu.
 
Kama kweli mbona nyuzi imeondolewa humu au na kina Max nao wamehongwa?

Mkuu, naomba tuweke ushabiki pembeni tuongelee facts. Jana mheshimiwa alituhumiwa, leo akakanusha. Katika hali ya kawaida asilimia kubwa ya watuhumiwa hukanusha, ushindi kwa mheshimiwa utakuja pale atakapokuja na picha za mikono yake ikiwa haina jeraha bichi la sime maana picha alotutundikia mleta uzi huu ni ya uso na tuliambiwa kakatwa mkono. Hao waandishi aloongea nao inabidi watu convince that the honorable is not injured. Also if possible aende mahakamani
 
Akili yako fupi sana ndugu yangu. Kama Simbachawene (aliyelala hotelini hapo) amesema tukio limetokea, kamanda wa polisi anakanusha ujue tukio limetokea na muhusika ni Simbachawene ila kamanda kapokea maagizo/rushwa ili afunike kombe. Kamanda angeeleza kuwa tukio limetokea lakini Simbachawene hakuhusika ningeelewa. Huwezi kusema Simbachawene na Mmiliki wa hoteli wote ni waongo kwa kusema kuwa tukio lilikutokea kwani wao ndio walikuwa hotelini hapo tofauti na mkuu wa polisi. Mkuu wa polisi kwa kauli yake inathibitisha kuwa tukio limetokea na Muhusika ni Simbachawene ndio maaana anaficha ijapokuwa kwa akili zake fupi akakanusha kutokea kwa tukio zima akidhani kuwa ndio anajenga kumbe atawadanganya mabongolala wenzake tu.

Ulitaka Polisi waseme Simbachawene kafumaniwa? kitu kama hiyo simply haikutokea.

Mnaodanganywa ni nyinyi na mnakimbilia na kuukubali kila uongo, tuonesheni hilo panga kapigwa wapi? maana mkono wake ni mzima (kama mlivyozua jana), labda kwenye makalio, mnataka awavulie na suruali? maana shati kisha wavulia bado haiwaingii akilini kuwa ule ni uongo na uzushi.

Jana nilisema kwenye nyuzi mliyoishadidia sana na leo haipo imeyayushwa (vipi Max? ilikuwa ni nyuzi ya uongo ndiyo mmeifuta au mmehongwa? mje mseme kweli, kwa nini mmeiyayusha)., nilisema; Siasa ni mchezo mchafu na kuna kila namna ya fitna, siwezi kuamini mpaka nisikie upande wa pili, na leo nimeusikia, kuwa Mheshimiwa Simbachawene kavuwa mpaka shati na hakuna hata alipochubuliwa mwilini mwake wacha kukatwa panga.

Ni nini usichokielewa hapo?
 
Kawaida ya magamba, alianza mdhihiri mdhihiri, sasa fisichawene na bado anasakwa mqugulu mchemba naye atoe mkono
 
Huyu kafumaniwa subirini zipite siku mbili tatu mtajua ukweli, kuhusu polisi, tanzania haina polisi ila ina genge la kulinda wanaccm na matendo yao maovu wanayoifanyia jamii.
 
Unaitwa nani? - mama neema

Nawewe mh- josephat joseph

aaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
mwenye hoteli:kigogo wa serikali kafumaniwa na mke wa askari
Kigogo wa serikali:sikufumaniwa mimi ila ni mtu mwingine
Polisi:hakuna tukio kama hilo limetokea katika hotel hiyo

labda tumuulize na Rais labda yeye amepewa information nyingine
wote hawa ni DHAIFU!
 
Ulitaka Polisi waseme Simbachawene kafumaniwa? kitu kama hiyo simply haikutokea.

Mnaodanganywa ni nyinyi na mnakimbilia na kuukubali kila uongo, tuonesheni hilo panga kapigwa wapi? maana mkono wake ni mzima (kama mlivyozua jana), labda kwenye makalio, mnataka awavulie na suruali? maana shati kisha wavulia bado haiwaingii akilini kuwa ule ni uongo na uzushi.

Jana nilisema kwenye nyuzi mliyoishadidia sana na leo haipo imeyayushwa (vipi Max? ilikuwa ni nyuzi ya uongo ndiyo mmeifuta au mmehongwa? mje mseme kweli, kwa nini mmeiyayusha)., nilisema; Siasa ni mchezo mchafu na kuna kila namna ya fitna, siwezi kuamini mpaka nisikie upande wa pili, na leo nimeusikia, kuwa Mheshimiwa Simbachawene kavuwa mpaka shati na hakuna hata alipochubuliwa mwilini mwake wacha kukatwa panga.

Ni nini usichokielewa hapo?
WENZAKO WAMEANZA UKUBWANI KUONGEA KWA KUTUMIA MASABURI, WE ULIANZA UTOTONI??? kweli watumwa wa chama cha machangu ni wengi, na we mmoja wao!
 
dume zima tena kigogo mzima ccm aibu gani hii, ataonga wangapi kujisafisha wengine hapa hatuongeki
 
Back
Top Bottom