Simbachawene aangukia pua uchaguzi CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,237
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , kwenye uchaguzi wa CCM uliofanyika huko Dodoma, Waziri Simbachawene ni miongoni mwa Antonin Panenka waliokataliwa kuingia kwenye Halmashauri ya chama hicho .

Chanzo : Mwananchi

Bali masikitiko ya wengi ni kuhusu namna Simbachawene alivyoanguka , inakuwaje waziri mwandamizi "apate namba za viatu?"
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , kwenye uchaguzi wa ccm uliofanyika huko Dodoma , Waziri Simbachawene ni miongoni mwa wanaccm waliokataliwa kuingia kwenye Halmashauri ya chama hicho .

Chanzo : Mwananchi

Bali masikitiko ya wengi ni kuhusu namna Simbachawene alivyoanguka , inakuwaje waziri mwandamizi "apate namba za viatu ?"
kwani yeye nani
 
Anaanguka kwa sababu ya majivuno na kiburii

Mimi binafsi ni moja ya watu ambao sijawai kumuelewa Simbachaweniii
Sijuagii hata anafanyaga nini cha maana hadi anateuliwa kuwa waziri
 
Chadema Ni chama SHIKIZI ,wanachama wake wanaopenda na kufuatilia habari za CCM kuliko hata namna Ruzuku za chama chao cha Chadema zinavyoliwa na kutafunwa na mwenye kigoda
Kwanza Chadema hawapokei ruzuku. Hivi wewe mbona ndiye unaongoza kuandika habari za Chadema humu hujioni kama ni mpuuzi fulani hivi?Kama huna mume huko CCM njoo Chadema uolewe maana unaitaja taja sana.
 
Chadema Ni chama SHIKIZI ,wanachama wake wanaopenda na kufuatilia habari za CCM kuliko hata namna Ruzuku za chama chao cha Chadema zinavyoliwa na kutafunwa na mwenye kigoda
Chadema Ni chama SHIKIZI ,wanachama wake wanaopenda na kufuatilia habari za CCM kuliko hata namna Ruzuku za chama chao cha Chadema zinavyoliwa na kutafunwa na mwenye kigoda
Ajabu! Hela ya ruzuku ya Chadema inakuuma kuliko hela ya kodi yako inavyoliwa. Manunuzi ya mabehewa ya mitumba kwa bei mara mbili ya mpya. Huo ni uzuzu.
 
Back
Top Bottom