Simbachawene aangukia pua uchaguzi CCM

Simbachawene aangukia pua uchaguzi CCM

LUKUVI VIPI ANAGAPI JAMAN
ILA MAMA DK AFIKE ASIRUHUSU MAWAZIRI KUWA MEMBER WA NEC
WATAKUWA NA KOFIA NYINGI NA KUSHINDWA KUTEKEELEZA MAJUKUMU YAO IMAGINE
1.NYUMBAN.BABA WA NYUMBA
2.MBUNGE
2A.BUNGENI WAKO KWENYE KAMATI ZA BUNGE
2B.WAKO KWNYE KAMATI ZA MKOA
3.MJUMBE NEC
4.BADO WALE WA KWENYE BODI
5.WENGINE TUMEWATUNUKU VYEO MAKAN8SANI WASIMAMIE UJENZI UW8I ELSE CONGS SANA CCM WALE WAZEE WALIOINGIA NA MAJINA YAO HAWAJAAMINI..HII NDIO CCM
CONGOLASANA DK.RAISI SAMIA SULUHU
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , kwenye uchaguzi wa CCM uliofanyika huko Dodoma, Waziri Simbachawene ni miongoni mwa Antonin Panenka waliokataliwa kuingia kwenye Halmashauri ya chama hicho .

Chanzo : Mwananchi

Bali masikitiko ya wengi ni kuhusu namna Simbachawene alivyoanguka , inakuwaje waziri mwandamizi "apate namba za viatu?"
Ni campaign kuwatema magufulist.
 
Nahisi Tanzania tunayoitaka inakuja anguko la viongozi wakubwa kwenye chama tawala ndo fufuko la upizani imara tukianza na (ndugai, bashiru+)na hawa wanaopoteza mvuto ndani ya chama na huku wanajijua wao ni muhimu ndani ya nchi
 
chadema haina ruzuku wewe punga la ccm au unaota huko lumumba
Mamilioni ya Ruzuku za 2015-2020 zilikwenda wapi? Mbona hata ofisi zinewashinda kupaka rangi? Mmeshindwa kuweka hata madirisha mazuri yakupitisha hewa wakati mmerundikana mure ndani Kama kuku? Mmeshindwa kuweka hata mirango ya ukubwa wankutosha ili mnapotoka msibanane Kama wanafunzi wa chekechea? Vipi kuhusu michango ya wabunge wenu kwa miaka hiyo yote mlikuwa mnapeleka wapi nyie wababaishaji? Mlitafuna na kulewea Pombe Hadi hela za Sabodo? Kwanini mmekosa uaminifu kiasi hicho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom