Sub waliyoifanya yanga itawakosti sana.
Kama kulikuwa na ulazima wa kutoa foward basi wa kutoka alikuwa ni Bahanuz na sio Hamis Kiiza.
Nizar Khalfan anapunguza spidi ya mashamulizi.
Leo simba akitoka nitaamini kuna watu wachawi, mpira umechezwa upande mmoja tu baada ya simba kufunga dakika ya nne. Niko na jamaa yangu hapa wa simba tunacheki gem muda wote kashikilia nanii hapa katikati ya mapaja.
Yaani kwa hiki kiwango tulichoonyesha Mnyama akipona leo nitaamini kile kimvua kilikonyesha hizi pande zetu kimetokea Zanzibar walipokuwa wamepiga kambi