Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hivi unaelewa maana ya striker kijana?..........wamagoli ya penati...
Sina kawaida ya kujifucha mimi.........Haya Mkuu ila Game ilivyoanza ulijificha nikajiuliza Balatanda kajifichia wapi? kusikia Goli la Yanga ulikuja mbio mpaka Password yako ya jamiiforum uliiweka mara tatu tatu> tehtehteh. Unakuwa kama Mkuu Wacha1 na Arsenal.
Dakika ya 51.............Na Didier Kavumbanguhilo goli lilifungwa saa ngapi..
penati ni gamble, hata mega gamblers kuna wakati wanakosea, hasa mpigaji akiwa less skillfulHivi unaelewa maana ya striker kijana?..........
Kuna mpira Buhanuzi kamzunguka Nyoso dakika ya mwisho kabla ya mpira kuisha kisha kapiga mpira kuelekea lango la Simba Kaseja akaruka kupangua kama alivyofanya kwa mpira uliopigwa na Mbuyu Twite 1st Half..........Hicho ndicho kinanifanya nimwite boooonge la striker.....
Halafu, Hivi umeiona ile penati lakini?, maana Kaseja mnayemuita mchawi wa penati kiasi cha yeye kujitapa 'THERE'S ONLY ONE KASEJA' kaenda MARIKITI.......What a penalty shoot!!.....
hilo goli lilifungwa saa ngapi..
Hapa tumemaliza mkuu bala,turudi emirate tukapashe misuli moto.Sina kawaida ya kujifucha mimi.........
Soma signature yangu......................
Bala Is Always Here...........
Hivi unaelewa maana ya striker kijana?..........
Kuna mpira Buhanuzi kamzunguka Nyoso dakika ya mwisho kabla ya mpira kuisha kisha kapiga mpira kuelekea lango la Simba Kaseja akaruka kupangua kama alivyofanya kwa mpira uliopigwa na Mbuyu Twite 1st Half..........Hicho ndicho kinanifanya nimwite boooonge la striker.....
Halafu, Hivi umeiona ile penati lakini?, maana Kaseja mnayemuita mchawi wa penati kiasi cha yeye kujitapa 'THERE'S ONLY ONE KASEJA' kaenda MARIKITI.......What a penalty shoot!!.....
Huo ni mtizamo wangu Kamanda...........Stricker mzuri anaotea mara 5?
Pamoja na kucheza 10 uwanjani.............Yanga wamewazidi Simba mchezo...
Said Buhanuzi ni booonge la striker.....
Watanzania tuna haja ya kujikita kwenye kuendeleza vipaji vya watoto/vijana wetu......Vijana wa under 20 leo ndiyo wamekuwa nyota wa mchezo kuanzia Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Edward Chritopher, Simon Msuva, Juma Abdul na Frank Domayo.......
Kuingia kwa Frank Domayo baada ya kutolewa Hamis Kiiza dakika ya 35 ndio kumebadilisha mchezo wa Yanga.......Domayo amecheza vizuri sana pale kati kwa kushirikiana na Athumani Idd 'Chuji' a.k.a Father Kidevu.......
Nimependa sana aina ya uchezaji wa beki kiraka Mbuyu Twite.......Hana papara na anatulia, anaweza kushoot on goal hata akiwa mbali na kipindi cha kwanza kuna mpira ameupiga akiwa mbali ulikuwa unaelekea kuingia golini bahati nzuri Kaseja aliuwahi akaupangua.....[/QUOTE
Ila anacheza kwa hasira sana, ana rafu mbaya sana, in a bad day angepata kadi nyekundu kipindi cha kwanza. Kwa ujumla Yanga wanacheza physical sana na hii ni sign ya wachezaji kukosa talents na skills.
Simba they have a lot of skills ndio maana wanapass the ball around na kuconcentrate na mpira zaidi kuliko rafu. Kumbuka timu yoyote inayocheza rafu huwa ni kwa sababu wanataka kuwatisha opponents wasicheze mchezo wao wa passing.
Mi naona wewe ndio unaongea kishabiki zaidi........Kimahaba zaidi......Wabongo tujifunze kufanya technical analysis ya mpira sio tunatangaziana wakati wote tunaona mpira. Analysis yangu ya Bahanuzi ni kuwa anapenda kukaa nyuma ya mabeki ili atanguliziwe halafu akimbie na mpira, na ndio ndio maana umeona anakuwa caught offside.
To me he is not a clever player. Hebu angalia mtu kama Okwi who is to me, the best striker in Tanzania. Huwa anakaa mbele ya mabeki, anarudi nyuma kuchukua mpira halafu anawafuata mabeki akiwa anadribble mpira. He tends to go past defenders because he is exremely talented. Mara nyingi mabeki wanarudi nyuma anapokuwa anawafuata na mpira and they end up committing fouls.
Nna uhakika angekuwepo leo defence ya Yanga isingekuwa as comfortable as they have been today. So to me i will go for Okwi if you present the two players for my team.
Nshakuzoea weye.........huku mtaani kwetu yanga wana shangilia kweli naingia JF namkuta kaka yangu @Balatanda anajitapa kweli naanza kuwaona yanga wapuuzi kweli yani 1 - 1 mnashangilia..
Kwa game ya leo wa kupewa kadi nyekundu(tena straight red card) alikuwa ni Haruna Moshi Boban.......Kwa rafu aliyomchezea Kelvin Yondani sidhani kama alistahili kuendelea na mchezo.......Ila anacheza kwa hasira sana, ana rafu mbaya sana, in a bad day angepata kadi nyekundu kipindi cha kwanza. Kwa ujumla Yanga wanacheza physical sana na hii ni sign ya wachezaji kukosa talents na skills.
Simba they have a lot of skills ndio maana wanapass the ball around na kuconcentrate na mpira zaidi kuliko rafu. Kumbuka timu yoyote inayocheza rafu huwa ni kwa sababu wanataka kuwatisha opponents wasicheze mchezo wao wa passing.
Kwa game ya leo wa kupewa kadi nyekundu(tena straight red card) alikuwa ni Haruna Moshi Boban.......Kwa rafu aliyomchezea Kelvin Yondani sidhani kama alistahili kuendelea na mchezo.......
Tatizo kinachokusumbua ni mahaba ndio maana unasema simba they have a lot of skills(japo sijaziona uwanjani leo), wale wachezaji wa Simba tuliozoea kuwaona wana skills uwanjani hawakuwa kwenye fomu leo, Mwinyi Kazimoto hakuwa kwenye fomu yake, Felix Sunzu alikuwa anakimbiakimbia tu uwanjani kama ilivyokuwa kwa Nizar Khlafan na Hamis Kiiza wa Yanga.....Kwa leo nyota wa Simba walikuwa ni Amri Kiemba , Shomari Kapombe na Jonas Mkude.....Zaid ya hapo sijaona
Zaidi ya hapo sijaona....utaonaje wakati ulivaa miwani ya mbao?
Mimi yanga but bongo hakunanga mupira yenyewe inavutia,tunashabikianga majina ya timu tu!
Watanzania tuna haja ya kujikita kwenye kuendeleza vipaji vya watoto/vijana wetu......Vijana wa under 20 leo ndiyo wamekuwa nyota wa mchezo kuanzia Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Edward Chritopher, Simon Msuva, Juma Abdul na Frank Domayo.......
Kuingia kwa Frank Domayo baada ya kutolewa Hamis Kiiza dakika ya 35 ndio kumebadilisha mchezo wa Yanga.......Domayo amecheza vizuri sana pale kati kwa kushirikiana na Athumani Idd 'Chuji' a.k.a Father Kidevu.......
Nimependa sana aina ya uchezaji wa beki kiraka Mbuyu Twite.......Hana papara na anatulia, anaweza kushoot on goal hata akiwa mbali na kipindi cha kwanza kuna mpira ameupiga akiwa mbali ulikuwa unaelekea kuingia golini bahati nzuri Kaseja aliuwahi akaupangua.....[/QUOTE
Ila anacheza kwa hasira sana, ana rafu mbaya sana, in a bad day angepata kadi nyekundu kipindi cha kwanza. Kwa ujumla Yanga wanacheza physical sana na hii ni sign ya wachezaji kukosa talents na skills.
Simba they have a lot of skills ndio maana wanapass the ball around na kuconcentrate na mpira zaidi kuliko rafu. Kumbuka timu yoyote inayocheza rafu huwa ni kwa sababu wanataka kuwatisha opponents wasicheze mchezo wao wa passing.
Kama Simba walivyomuingiza Boban kwa maelekezo ya kwenda kumvunja mguu Yondani ksbb 2 kubwa, 1. Wamvunje wamtoe ksbb walimuona ni 1 wapo ya kikwazo kikubwa na 2 kuwatisha mabeki wengine ili wakiona Boban anakwenda tena na mpira waogope,period, yule mibange alaaniwe na atalaanika kweli