Simba vs Yanga April 19, 2009

Hahahaha,

Kuna wawakilishi wetu kule wawili wanaofahamika kwa majina yao mkuu. Simba na Chelsea zikiwa zinacheza huwa sina ratiba mbadala!

hahahahahah mkuu kumbe hufai kwenye soccer eeehhh, mimi Yanga enzi zile nilikuwa sili kukichapwa...siku hizi Chelsea bwana tukifungwa nakosa amani! hahaha uwakilishi kwenye birthday nasubiri feedback
 
Haya Sasa Kijana mdogo Kuliko Wote Uwanjani Jerry Jerrison john Tegete anawanyanyuwa Watu Vitini mna bahat Leo Refa alillalia Penati Hamna timu
 
Tatizo mnaongea sana,yaani hata kabla mpira haujaisha mshaanza kujipa matumaini ya CAF...Lol
Raha ya upinzani hiyo yakhe!

Wacha nikunje laptop yangu niifatilie mechi ya Man U. Naona Man U 0 - Everton 0 mpaka sasa dakika ya 20 inakwenda
 
poleni Simba hivi mmeifunga Yanga lini? kwa mara ya mwisho?? mmezidi kuchonga sana nyie. Afali mimi timu yangu imepanda daraja mwaka huu mtaitambua.
 
Ha ha ha Bala umeibukia wapi ha ha ha naona umefufuka hongera :)

We acha tu mkuu,maana tayari nina maumivu ya jana,sasa na leo tena sijui ingekuwaje maana weekend ilishaanza kuharibika tangu jana,anyways ngoja nikajipongeze(kwa kusawazisha na kutoka sare) kwa Serengeti barrrriiiiiiiiiiidi
 
Watani wa jadi bora hiyo draw iwatulize kwa leo hamna kuchonga sana!..hivi JF wengi ni Yanga??
 
Mmekuwa ngazi ya yanga Point 4 msimu huu kutoka kwenu ndio zilizowapa Yanga Ubingwa Msimu huu Kwaherini
 
Back
Top Bottom