bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Hii michezo basi Simba wanayo kuanzia siku nyingi rejea kwa mapana ishu ya Kabwili, Ulimboka et al ndio utafahamu Simba na kuhonga kwao ni pie ya 22/7 wanaipenda na wameizoea tangu kale.
Kumbe basi leo nlikua naangalia kipindi flani cha Azam mambo ya wahenga wale wanamichezo wa zamani wanahojiwa na leo walikua na Refa wa Zamani Mzee Israel Mwansasu kutoka Mbeya mwenye kazi yake Dodoma.
Mtangazaji wa Azam Ndg Mvula alimuuliza ni changamoto zipi kubwa alikutana nazo katika kazi yake alitaja kadhaa ila binafsi iliyonivutia ni ile kupewa Elfu 50 na viongozi wa Simba ili kutoa kadi kwa wachezaji hatari wa Yanga ili wakosekane mechi iliyokua inafwata ambayo walikua wakutane na Simba.
Refa Israel akaenda mbali zaidi kwa kutaja wachezaji waliotakiwa kula kadi ni Lunyamila, Said mwamba Kizota...nk walikua watano uzur mzee anakumbukumbu kweli.
Kumbuka hapo Yanga walikua wacheze na Pamba ya Mwanza kabla ya gemu inayofwata kukutana na Simba refa Israel ndio alikua achezeshe gemu ya Yanga Vs Pamba na kweli alichezesha na Yanga kula Magoli 3-1 uzuri mzee hakutoa kadi yoyote kwa mchezaji wa Yanga kwa hiyo elfu 50 ya Simba ikawa imeenda bure.
Kumbe basi hata haya tunayoshuhudia kwa sasa ni mwendelezo tu wa tabia zao za ajabu Simba.
Credit Azam Tv #Mvula
Roma ikisema imesema