Hata hizo asilimia 30 ulizompa simba nikama umem-bust tu.Mkuu, Simba dume na Tiger dume wakipambana Simba ataipata, Tiger ni mnyama anayeishi Solitary kama chui anavyoishi (yaani ni mnyama anayeishi peke yake), ukiwakuta wawili basi watakuwa ni jike na dume na jike amemfuata dume ili "apigwe mashine" baada ya hapo kila mmoja utafuta ustaarabu wake.
Katika kuwinda Tiger huwinda peke yake, Tiger mmoja peke yake anaweza kumuua AUGUR (aina ya nyati waliopo India) hii ni tofauti na Simba ili aue nyati wanatakiwa wawepo sio chini ya simba wawili. Tiger anayo kasi kubwa, nguvu na uzito kuliko simba na anapowinda asilimia kubwa ni lazima apate tofauti na simba akiwinda peke yake, kifupi Tiger ni mpambanaji peke yake (a lone starring) tofauti na Simba ambao kwa tabia huwinda kwa kundi hasa majike, Tiger anaweza kuogelea na anapopigana na mwenzake huweza kusimama kwa kutumia miguu ya nyuma pekee na kutumia miguu ya mbele kama silaha hii ni tofauti na simba ambaye hawezi kusimama kwa miguu ya nyuma pekee, hivyo ukiwapambanisha simba na Tiger, Tiger anayo nafasi kubwa ya kumpiga simba na hasa simba jike kwani yeye hana manyoya ya kumkinga usoni (mane) kama ilivyo kwa Simba-dume.
Hitimisho langu ni hili; ninampa Tiger 70% ya Ushindi dhidi ya 30% ya ushindi wa Simba.
Japo Simba ni "Baba lao" ,🤣
NB:Tahadhari na Corona vaa barakoa😷
Upo sahihi kaka.Upo sahihi sema,nimeona video nyingi za mapampano ya Tiger na Simba mwishoni Tiger huwa anashindwa ni kutokana na kuchoka. Hawezi kupigana muda mrefu,yeye ana attack kali yenye uhakika na kwa muda mfupi tofauti na simba ambaye ana uwezo wa kupambana muda mrefu.
All in all Tiger na Simba ni kama mnyama mmoja na hawawezi kukaa eneo moja kwa sababu wote wanajijua ndo wako juu ya ile ya rank ya eco system. Thatz why Simba anapatikana Afrika na Tiger yupo Asia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena katika hao wala nyasi asithubutu kumgusa captain wa simba sports club. I mean bokoAnachokiweza Simba ni kuwala wanyama walao nyasi tu. Zaidi ya hapo hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
We jidanganye na stori za mtaani eti simba dime hajui kuwinda, siku ukiingia kwenye 18 zake ndo utajutaKwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
hizo sifa ni za jaguar peke yake ndio mwenye uwezo wa kuwinda mamba na sio TigerKwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Mkuu umeanza vizuri ila umeharibu mwishoni kuhusu viumbe hawa.Simba kupewa ufalme wa Pori si kwamba ata win kila battle ila ni ule ujasiri wake wa Kuto kuogopa Chochote kile Simba ana patience kubwa na yupo tayari kufa katika battle field hakati tamaa hata kidogo, Chui akiona haelewi tu ni mbio kitu ambacho simba hana ni mara chache ukute battle yao katika open space kwanza chui hana time na simba akishamuona ataendelea na mishe zake ila in real sense ukiwaweka kwenye Cage basi Simba ana likely chance ndogo sana kuchomoka mana Chui yupo na advantage nyingi sana haswa flexibility compare na simba. Tiger ni msala sana wazee ni kama unavyo ona ujinga wa Mbwa kujimwambafai akiwa na binadamu wanakimbiza Paka kwa support ya binadamu na mbwa wako wengi paka ana weza kupoteza ila fungia kwenye cage wawili ndo utajua Mbwa hafui dafu hata kidogo
Kabisa, watu wanacheza na mamba ndani ya maji.kuna mijusi flani wewe ndio unaiita mamba
Huyo kawa overrated sana na hiyo inatokana na ile mikwara ya sauti yakeJamani ebu acheni kumfananisha Lion King na vitu vya kijinga.mnataka kuniambia kuwa waliyomwita ilo jina walichukua rushwa?.huyu jamaa katika dictionary yake uwa hakunaga neno (kumkimbia mpinzani), hata uyo mamba uwa anakimbia akijua kuwa kaingia kwenye 18 za Lion king
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna kiumbe cha nchi kavu kinaweza kumwondoa mamba ndani ya maji.Upo sahihi mkuu, mamba hawindwi akiwa majini, never ever. Hao wanawindaga alligators
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi njiuavyo kuna aina nyingi za chui ikiwemo na tigerTiger sio chui mkuu
Harafu anakuja mtu anakwambia kuna mnyama anaweza akatoa hiki kiumbe kwenye maji.ata mimi nilikosea ,pia wewe
Aaah we unazinguakuna mijusi flani wewe ndio unaiita mamba
Simba hamna kitu pale, hata mmasai akipewa fimbo anacheza nayeclips kibao zinaonyesha feilure ya simba kwenye harakati za kuwinda.
ufalme wa nyika simba amepewa sababu ya uvumilivu wa hali ngumu,na si vinginevyo.
tiger ana tabia na hulka kama za paka,(ubosi)ndio maana alashindwa hapo.otherways alikuwa ni kiumbe asiye na mzaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni mijusi iishiyo majini ila sio mambo mkuu, tena akiwa majini? Hapana kwa kweli.blaza mamba ni habari nyingine,kwa haraka haraka kuna aina za mamba kama 3 na zaidi hiv,wanapishana umbo mpaka tabia.
huyu jaguar anakamata aina fulani ya mamba ni wadogo kiumbo hata kuliko yeye,kuna baadhi ya hizi mashine za huku africa,zinafunga mpaka kg 900.hapo aje jaguar na ukoo mzima wataishia kunywa maji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
African lion labda kama unaizungumzia timu lakini sio simba wa mwituniUpo sawa mpangilio wa wanyama wenye nguvu na wawindaji hodar 1. Ni jagwa. 2 African lion 3. Tiger. 4ndo utakuta chui na wengine wanafata. Pia kwa wanaosema jagwa hawind mamba bas sio wafuatiliaji wa wanyama. Most jagwa anapendelea kukaa kwenye misitu minee kama Amazon hivo chakula chao kikuu ni mamba na viumbe wengine wanaopatikana misituni. Simba anapewa heshima kwasababu tu anavumilia sana wataalamu wanasema simba mmoja anaweza kuwinda prey aliyemzid mara mbili tofaut na hapo itabid wawe kund kubwa ndo wapate chakula. Ila jagwa anasifika kwa kuwinda mwenyewe na huwa akimbiz yy anateka anakamata na kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
chui ni mmoja tu, sema watu wanachanganya tu.Mi njiuavyo kuna aina nyingi za chui ikiwemo na tiger
Hahaha watu wana stori kweli za mtaani, wanasema madume hayawindi.We jidanganye na stori za mtaani eti simba dime hajui kuwinda, siku ukiingia kwenye 18 zake ndo utajuta
Na tiger?Upo sahihi kaka.
Hivi ni kweli Mkuu lile simba dume lenye manyoya likalishwe chini na tiger?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi.Simba anachomzidi Tiger ni uwezo wake wa exert dominance and power over an area. Hii ni kwasababu Simba ni social cat tofauti na Tiger ambaye mara nyingi anakuwa alone.
Vilevile Simba ana guts kuliko Tiger, ndio maana anaweza kukabiliana na prey wakubwa kama Nyati, though kwa kusaidiana na Simba wengine katika Pride yao.
Hii ndio sababu SIMBA ana-symbolise POWER popote duniani!
Sent from my iPhone using JamiiForums