Lazima upoteze "radha"Sasa umeanza kuleta mzaha, kama sio mzaha basi ni mahaba. Tunapoteza radha ya thread kwa mambo kama haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba anamkimbia mbwa mwitu tena hata nyuma hageuki, ajabu ni kwamba mbwa mwitu anamuogopa binadamuChief
Ushahidi wa kuokota si ushahidi...
Yaani mtu kujiandikia story ya kusadikika tu,ndio wataka kila mtu akubali.....?!!!
Nadhani ww ni Mtu Asia
Watu wa Asia wengi wao wana Propaganda mbaya sana dhidi ya Simba
Lkn wanafeli...
Mmoja wapo ni wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaona battle ya simba vs tiger wakuu sio poa, ilikua hivi wote walikua shimoni sijui waliingia vipi so hakuna aliekua anaweza kutoka yani ulipigwa mkono sio poa ilifikia point tiger alikua hawezi kuamka alikua anapigana kalala chali simba ndo alikua bado yupo active alikua anapigana akiwa bado kasimama ila kajeruhiwa balaa dam zimamwagika. Mwisho wakawa wote wanatazamana. Nilichogundua simba anapumzi kuliko tiger so naweza kusema simba ni habari nyingine anapigana mpaka kufa.
Media zimemkuza sana simba kiasi kwamba mamluki hamtaki kuukubali ukweli
Media zimemkuza sana simba kiasi kwamba mamluki hamtaki kuukubali ukweli
Simba ni underdog kwa TIGER hilo haliepukiki kubisha kwako hakubadili chochote
Kabla ya media SIMBA alibakia katika nafasi yake ambayo alistahili kua
Kabla ya media SIMBA alibakia katika nafasi yake ambayo alistahili kua
Ndio mkuu ni nomaHuu ndio uhalisia
Na si Porojo
Ila vita
Walichonganisha makusudi
Ili kumjua mbabe ni nani....!!!
Ila
Simba ni kiumbe mwengine kabisa katika mapambano
Mfalme wa Pori
Baba Lao
Sent using Jamii Forums mobile app
kimbe mazingira yanaweza changia mood ya mnyama.Acha kumfananisha simba na hivyo vipaka vingine.Ayo mapaka mengine hawana jambo lolote zaidi yaujanja ujanja tu wakuruka ruka.na pia achana na mambo yakupigana kwasababu kupigana kwa wanyama wakati mwingine kunategemeana na mood na sio wakati wote wanakua maadui ila angali maisha halisi. kwamaswala yote ya porini Mfalme ni Simba.Pia nikupe angalizo kua ukiona mnyama anapatikana mapori ya bara la AFRICA kamwe usithubutu kumlinganisha na wanyama wa mabara mengine.Wanyama wa Africa ni more aggresive ukicompare na species zinazopatikana mabara mengine.Nahii nikwaviumbe wote kuanzia wadudu wadogo hadi Tembo.
Wewe uliyepo uko Tiger Country ndio unajua kwamba tiger ni mkali kuliko simba au upo kwy mbuga ya YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sifa ya MwanaumeTigers huwa wana hit and run yan tiger anakupa kichapo ndan ya dk tano tu amekujeruhi Sana akiona huf huwa anasepa simba huwa linapigana bila kuchoka yan do or die
mkuu kuna sehem nilisoma kuwa jaguar anauwezo wa kucrush skull ya pray wake like kama hao caiman tofaut na tiger au simba kwa upande wao sijasikia sifa kma iyoMkuu, nilazima useme; bite force
relative to its body weight/size hapo Jagusr anawadi Cats wote.
Vinginevyo sio sawa hata kidogo kwamba Jaguar anamzidi Simba au Tiger kwa bite force.
Sifa ganiBasi History
Inampa heshima yake tokea hujazaliwa Chief
Kuanzia katika Vitabu vya Dini mpaka vitabu vingine mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Fatilia historia ya mapsmbano kati ya simba na Tiger 🐯Basi History
Inampa heshima yake tokea hujazaliwa Chief
Kuanzia katika Vitabu vya Dini mpaka vitabu vingine mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuna sehem nilisoma kuwa jaguar anauwezo wa kucrush skull ya pray wake like kama hao caiman tofaut na tiger au simba kwa upande wao sijasikia sifa kma iyo