Simba vs Tiger

Tafuta documentary Win ya hii battle ni 50/50 documentary niliyoangalia Tiger alikufa, simba alipata majeraha makubwa naamini Hata yeye hakuishi siku nyingi baada ya battle

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa TIGER akimtafuna simba baada ya kupata upenyo ulio watenganisha kati ya yeye na simba

Na yule jamaa aliyesema kua simba dume anafanya kazi ya ulinzi aje ajibu hapa kivipi mlinzi ashindwe kufanya kazi yake?

Tiger kills lion in Turkish zoo
 
Alikufa ila kwa mbindee

nadhani ndio unachokimaanisha hapa siyo?

Tiger kills lion in Turkish zoo
 

Sio poa mkuu huyo ndo king of the jungle


Sent from iPhone 6s Plus
 
Simba akimrukia mnyama ana uzito wa kishindo cha paundi 500 kwa Simba dume na ndie mnyama asie na woga hata kidogo...Jana nimeona Fisi wengi walimfukuza Simba kwenye lindo lake mchana jamaa wanamuonyesha yule fisi kihelehele akikimbizwa na Simba yule yule usiku baada ya kuviziwa maana Simba usiku anaona kama kawaida...
 
Naomba. Nijibu hizi hoja kidogo, mkuu.

Kwanza, yule unaye ona anaopolewa katka maji, si mamba, ni jamiii za mamba. Hawapo na nguvu sana, wala ubabe mwingi. Ukikutana na mimamba yenyewe, humtoi katika maji.

Pia yule unasema anaye mchomoa huyo mnyama jamiik ya mamba, si tiger. Jaguar ndio huwa ana ubabe huo.

Twende sasa, kuhusu simba.

Ukiangalia life style simba sio kweli kuwa simba dume hajui kuwinda au kula kulala, jamaaa anakazi nyingi sana, kuhakikisha jike wake na pride ipo salama. Simba dume, ana teka na kumiliki himaya na utawala, hapo anaweka mipaka na hukagua mipaka yake, kumhakikishia mkewe aman akawinde alete nyumbani. Hiii tunasema, Baba nipe ulinzi, na faraja nikupe Chakula na penzi.

Simba dume, hapo tunasema anakula mafao yake tu, ni kama mfanyakaz akisha fanya kazi miaka mingi na kustaafu, anakaa home ana kula mafao. Simba dume akifika wastan wa miaka miwili, Hufukuzwa kwao na kuanza kuwinda na kujitafutia yeye kama yeye Man alone, kwa hiyo hiko hakafukuzwa, hukaaa sana karibh na mama kujifunza kuwinda. Kipindi ambacho, ukimuangalia huweza kuhisi ni jike, maana anakuwa hana Zile nywele, labda uchunguze via vya uzazi. So, sio kweli kwamba dume hajui kuwinda.

Pia ktk hiii pride, ikitokea mawindo yamekuw magum, wanyama ana nguvu sana. Baba lao, huwenda kuset kitambo na kuongeza nguvu, kama kawaida.

Simba mmoja, Tiger mmoja hawezi mchomoa mamba kwenye maji, mbabe wa mamba kwenye maji ni kiboko peke yake. Ngoja nipunguze maneno nijibu hoja ya mtoa mada

Simba na Tiger, nani bingwa???

Katk kulinganisha wanyama, huangalia nguvu ya mnyama kiasili na kimaumbile yao. Simba nguvu yake na maumbile ni kubwa kuliko MBWA. Hii huja automatically simba anapiga MBWA. Lakin Tiger naye yupo vziur ana nguvu na nin mkubwa.

Nani mshindi, ?? Inategemea kwa hali ya mmoja mmoja yupojs walipo kutana?? Mbinu alizo adopt ktk mawindo na mapigano.

So, simba anaweza kalishwa na tiger, tiger anaweza kalishwa na simba. Kutegemea na hali zao kwa wakat huo
 
Mimi nipo apa Tanapa usinibishie kijana wa maghorofani. Africans Lions, Africa leopards, African Buffalo, Africa elephants and African rhino hawa wanyama ni Habari nyingine. Ndio maana Nimekuuuliz umeshaona simba, chui, nyati, tembo na kifaru anafugwa na unaenda kumshika kama huyu Tiger. Huyu tiger kuwa na uzito Mkubwa haimaanishi kupambana ni sawa na kuchukua mnyanyua vyuma na mcheza kareti. Africans leopards na tiger. Tiger hamuwezi hata kwa sembuse hawa wanyama wanashambulia hatari sana. Hao wanyama wa kwy movie usiwahhsishe na iyo big five.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliompa ufalme walifanya research, na sio kubisha kutoka kwy mitandao eti Bite 600 kwa 1000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo video mnazotazama National Geographic mkiwa mmenyosha miguu kwenye makochi ya shemej zenu zinawadanganya. Simba ukimuona live akiunguruma tuu usipomaliza haja zako zote basi unakata moto trust me.
balaaaa

Wanangu wa A town inakuaje??
 
simba kumuwinda twiga inabidi kijiji chao kitoke chote.hata mbogo.hawezi kumuua peke yake.simba hawezi kuwinda peke yake hiyo ndio asili yao.angalia the lion rules utaamini.
Tena nyati dume anadodoshwa na simba dume bila shida. Njoo mbugani mjifunze sio kudharau King of the jungle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Mimi nilikuwa na clip inayo onesha Chui amemkurupua mamba mtoni akasepa nae
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo video mnazotazama National Geographic mkiwa mmenyosha miguu kwenye makochi ya shemej zenu zinawadanganya. Simba ukimuona live akiunguruma tuu usipomaliza haja zako zote basi unakata moto trust me.
Bora uwaambie vijana wa maghorofani. Simba ana msuuli Mkubwa sana tofauti na tiger. Na msuli na ushupavu ndio umfanya awe king of the Jungle

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…