Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

Hatimae kimeeleweka Mnyama aua mtu huko Setif Algeria....SIMBA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... TUMEVUKA raudi inayofuata
 
watani hongereni sana sisi bd tunapanga jinsi ya kuwatwanga marefa. KATAVI hongereni sana
 
Wapi mabondia wetu...Sisi hata tukiwa pungufu hatuna noma ni kichapo tu ndani ya uwanja...Makonde nomaaaaaaaaaa. Njooni Msimbazi mjifunze soka
 
Hongera kwa vijana wa msimbazi!yanga wakasomee ubondia manake ndio mchezo wanaouweza!
 
hivi ni timu gani ikishandaga wanashangalia kauli mbiu ya chama flani hivi?
 
Hongereni mmefuzu,Mtacheza na nani tena tujiandae kununua jezi?
 
simba wanapata goli hapa okwi anapiga shuti kali mita 25

Hilo bao la mita 25 refa hawezi kulikataa kwa kizingizio chochote. Kudos wana Msimbazi!
Hata hivyo Juma Nyoso asiachwe hivi hivi bila adhabu ili kujenga nidhamu ya timu.
 
Mpira umeisha. Matokeo. Simba1-Es stif 3. Hivyo matokeo kwa ujumla 3-3. Kutokana na goli la ugenini Simba wapeta. Source Masako I tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom