Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

malapa yalikuwa yamejaa hapa sana sasa hivi yote yamekimbia
 
Tume ya katiba safi, simba safi, ijumaa kuu safi, mvua nchi nzima.
 
Jackbeaur simuoni ghafla, amekimbilia porini bila kujua huko ndipo walipo Simba.

ngoja aliwe huko huko porini...hahahhaha yangaaaaaaaaa kandamnbili chali wao ndi=ondi tu
 
Kibelaaaaa Nyavu zenu zimecheua lkn ndio hivyo tena sisi wana Yanga twawapongeza...
 
ila tabia nyoso wasiifungie macho alikuwa tayari kaua timu kwa mchezo kama wa kandambili.aonywe aache accasia
 
Hongera Simba! ila wachezaji wafundishwe kujua umuhimu wa kujichunga hasa katika mechi muhimu kwani kadi ile nyekundu ilitaka kutu cost vibaya mno. Timu imecheza zaidi ya dakika 70 ikiwa pungufu tena ugenini.
 
Je, inawezekana kama refa ajaona faulo, akaongea na mshika kibendera wake kumwuliza nini kimetokea, kisha refa akafanya maamuzi kutokana na mapendekezo ya mshika kibendera?
 
Simba rescued by 'foreign legion'
03-26-2012
ico_envoyer.gif
ico_imprimer.gif
ico_partager.gif

font_more.gif
font_less.gif

1332737227-a.jpg
zoom.gif
Zoom​


The 'foreign legion' came to the rescue of Tanzanian club Simba in the Orange CAF Confederation Cup as they defeated Algerian visitors Entente Setif 2-0 Sunday.
Ugandan Emmanuel Okwi broke the deadlock 75 minutes into the first leg of a
last-32 tie and Zambian Felix Sunzu raised his competition goal tally this season to three by adding a second soon after in Dar es Salaam.

Serbia-born Simba coach Milovan Cirkovic lavished praise on 2009 runners-up Setif before the game and the triumph is a major boost for Tanzanian football after the early exit of Young Africans from the CAF Champions League. A Sunzu brace enabled Simba to scrape past Kiyovu Sports of Rwanda in the preliminary round while 1988 African champions Setif were among 16 clubs to receive a bye.

African rookies Hwange of Zimbabwe came from behind to snatch a 1-1 draw at home to Al Amal from Sudan with Rodwell Chinyengetere levelling just before half-time after Mohd Adam gave the east Africans an early advantage. The match provided a reality check for the Zimbabwean club based at a colliery in the north west of the country after they fired seven goals past Zanzibar outfit Jamhuri to reach the second qualifying phase.

CS Sfaxien of Tunisia, the only club to lift the Confederation Cup twice since its 2004 inception in place of the African Cup Winners Cup and CAF Cup competitions, look set to advance after winning in Congo Brazzaville.
The team from Mediterranean city Sfax triumphed 2-1 over AC Leopards in Dolisie with Maher Haddad and Guinean Naby Soumah scoring before Loseni Komara pulled one goal back from a penalty kick on the half-hour mark.

Tana Formation of Madagascar surprised 2011 semi-finalists InterClube of Angola 2-0 in Antananarivo via goals from Ferdinand Ramanamahefa and Tojo Claudel Fanomezana. Malagasy football is in a deep state of depression after a series of heavy losses at national team and club level and desperately needed the boost that debutants Tana delivered. Both Malian sides lost away with Cercle Olympic Bamako conceding a goal in added time to fall 3-2 in Chad against Renaissance while Real Bamako were
 
hivi ni timu gani ikishandaga wanashangalia kauli mbiu ya chama flani hivi?
Naangalia ITV kipima joto wanazungumzia yule Mwenyekiti wa Timu fulani ambaye ni Mbunge alipanda jukwaani na bastola kule Igunga. Yeye ni Mbunge kupitia Chama flani pia
 
Kwa hisani ya 'Viwanja na Nyumba' tunawapa pongezi nyingi Simba S.C. na watanzania wote kwa ujumla. Simba ni Imara, Daima Mbeleee....... Nyuma mwiko!!

Karibuni wote mnunue/muuze mashamba, viwanja na nyumba kwenye thread yetu maarufu ya 'Viwanja na Nyumba' hapa hapa JF.
 
Je, inawezekana kama refa ajaona faulo, akaongea na mshika kibendera wake kumwuliza nini kimetokea, kisha refa akafanya maamuzi kutokana na mapendekezo ya mshika kibendera?
Unakumbuka kombe la dunia 2006 Zidane alipompiga kichwa Marco Materrazzi na refa hakuona tukio hilo?
 
haya simba msibweteke tena.....mkirudi pigeni tizi na sio muanze kupiga umalaya.......hongera zenu....
 
Waalgeria hawaiwezi Simba, mnakumbuka Simba ya kina Chumila, Lenny, Malota ilivyowabamiza na kuwatoa Al Harach?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom