Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

Chezea Simba weyeeeeeeeeee?? Chezea KANDAMBILI Chama la Mabondia,Usishike Sharubu!! Cheza na Ugali wako Usichezee Simba!! Okwi kama Van Persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
[/PHP]
Mpira umeisha. Matokeo. Simba1-Es stif 3. Hivyo matokeo kwa ujumla 3-3. Kutokana na goli la ugenini Simba wapeta. Source Masako I tv

mkuu ulikuwa wapi mbona hapa tumeangali mpira live?
 
Okwi ni proffesional wa ukweli.Hongera simba kwa kusonga mbele.Sisi azam tutafuata nyayo zenu.
 
Simba imara imara, hy ndio mambo ya mnyama.....Popote analinda hata kama anawinda.
 
Hilo bao la mita 25 refa hawezi kulikataa kwa kizingizio chochote. Kudos wana Msimbazi!
Hata hivyo Juma Nyoso asiachwe hivi hivi bila adhabu ili kujenga nidhamu ya timu.
Kweli huyo jamaa halafu yuko kwenye Timu ya Taifa. Ila ukiangalia utaona yule mwarabu alikuwa anakitafuta kiwiko mana alikuwa kamsogelea kifitina hivi. Lakini kwa vyovyote vile Nyosa alipaswa kuwa mpole. Tungetolewa hivi hivi kwa kosa lisilo na maana.
 
Hongereni sana wachezaji, viongozi, wanachama na wapenzi wote wa club ya Simba. Tunawatakia maandalizi mema kwa hatua inayofuata...msibweteke, mechi ya leo ni fundisho tosha kwenu.
 
Kidedeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Simba noma, Simba zali zalina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom