Makoye Matale huwa hadanganyi wala hadanganyiki, ni msema kweli hata timu yake ya Yanga ikifungwa, huwa anaandika ukweli, kweli tupu:Eti nini Makoye Matale mkolaj Bantu lady
naomba matokeo aliyoweka Makoye Matale siyaamini.
cc Masuke.
Simba 1-2 MCC my prediction. Hadi sasa Simba 1-0 MCC.
Eti nini Makoye Matale mkolaj Bantu lady
naomba matokeo aliyoweka Makoye Matale siyaamini.
cc Masuke.
Simba 1-2 MCC my prediction. Hadi sasa Simba 1-0 MCC.
mungu kama kawaida baraka ziendelee kutawala simba itoe droo ama kufungwa mechi zote mpaka ligi inaisha...... Amen !
Imeniuma kuongoza moja tu kipindi cha kwanza, ingekuwa angalau 3, na kisha kufungwa mwisho wa siku.
Ila Mbeya City kama timu tuliyoitegemea kuleta upinzani na mapinduzi tena msimu huu kama msimu uliopita, natumai watakuwa wamepata ari ya kuanza walichofanya msimu uliopita baada ya kumfunga Mzee wa kudoa dozi za TANO kwa Yanga na hatimaye kuchangamsha ligi zaidi, bado mapema sana, hata raundi ya kwanza haijaisha.
Uzembe wa hali ya juu sidhani kuna haja ya kujadili tumefungwa kwanini. Wachezaji wetu wamebehave kama timu ya chini ya mchangani. Umepewa life line unashindwa kuitumia. Halafu mwisho analaumiwa kocha. Well done Mbeya City you deserved to win.
Mrisho Mpoto hakucheza leo? Mpira na ngonjera wapi na wapi!