Jamani ila Simba sc ni ya TZ not Liboro, mtani wa kweli ni Wa kumhurumia Simba Na kumpa pole with all spirit, let activate Utani , vijembe, halua-hua wakati Timu mbili hizi I mean Yanga vs Simba zikimenyana live..if Angola pipo wanasoma sred hizi watashangaa how come their team Luckly collect such wapenzi wengi ugenini? Kumbe ni mautani yetu yasiyo Na mipaka...!!!