Simba vs Berkane, Simba atafungwa magoli 3

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,870
Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII

Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani

KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza

BAADA ya HAPO

Berkane itakuja dar

Sijui nimalizie nionavyooooo

Berkane itapata goli kuanzia Moja nk HATA kama Simba atashinda

Hitimishoooo

Simba atatoka kwa magoli atakayofungwa kuleeee na Berkane

Otherwise
Weka kwenye kumbukumbu zako hili....

Magoli ya Morocco
Berkane vs Simba
3-0/3-1/4-1/4-0

Changamoto Kubwa wasiamini.uchawiii kule watateseka sana

Huku sawa wanaweza pambana na wale wazee waooo
Otherwise
ALLDBEST Simba sc(uzalendos kwanza)
 
Hivi sasa n saa 12:25Am
Saa za afrika.mashariki na
Siku ya tar _/5/2025
Jaza SEHEMU iliyowazi
Kwa kumbukumbuu
 
halaf tunakuja kuwamaliza tarehe 15 june 25, kisha zinaanza kelele za mangungu atoke, kuuliza bilioni 20 mo aliweka benki gani
 
Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII

Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani

KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza

BAADA ya HAPO

Berkane itakuja dar

Sijui nimalizie nionavyooooo

Berkane itapata goli kuanzia Moja nk HATA kama Simba atashinda

Hitimishoooo

Simba atatoka kwa magoli atakayofungwa kuleeee na Berkane

Otherwise
Weka kwenye kumbukumbu zako hili....

Magoli ya Morocco
Berkane vs Simba
3-0/3-1/4-1/4-0

Changamoto Kubwa wasiamini.uchawiii kule watateseka sana

Huku sawa wanaweza pambana na wale wazee waooo
Otherwise
ALLDBEST Simba sc(uzalendos kwanza)
hao berkane wawaulize kwanza wydad mpira waliopigiwa hukohuko kwao morroco na ile simba yaungaunga mpaka mashabiki wao wakaanza kutetemeka uwanjan nawengine kuomba dua uwanjani kabla yakukutana na simba hii iliyokamilika...waarabu walikuwa wanatuonea sana kabla ya VAR kuja afrika,sasahiv hakuna penalt zabure wala janjajanja,hao berkane watapigwa hukohuko kwao, Kwanza kocha fadlu kabla yakuja simba alikua raja anaifahamu vzur berkane na morroco yote usitutishe
 
Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII

Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani

KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza

BAADA ya HAPO

Berkane itakuja dar

Sijui nimalizie nionavyooooo

Berkane itapata goli kuanzia Moja nk HATA kama Simba atashinda

Hitimishoooo

Simba atatoka kwa magoli atakayofungwa kuleeee na Berkane

Otherwise
Weka kwenye kumbukumbu zako hili....

Magoli ya Morocco
Berkane vs Simba
3-0/3-1/4-1/4-0

Changamoto Kubwa wasiamini.uchawiii kule watateseka sana

Huku sawa wanaweza pambana na wale wazee waooo
Otherwise
ALLDBEST Simba sc(uzalendos kwanza)
Haujaanza leo kutabiri.
Tupe na unabii wa dabi, ipo au haipo? 😀
 
Jifunze kwanza kuandika kabla ya kujifunza utabiri...
 
Kikubwa tumefika fainali na medali tunayo.
 
Ila Mimi dau nampa Simba kushinda au 2x. Hapo akishinda nakuwa nimeshinda na akishindwa nabaki furaha!😀😀
 
Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII

Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani

KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza

BAADA ya HAPO

Berkane itakuja dar

Sijui nimalizie nionavyooooo

Berkane itapata goli kuanzia Moja nk HATA kama Simba atashinda

Hitimishoooo

Simba atatoka kwa magoli atakayofungwa kuleeee na Berkane

Otherwise
Weka kwenye kumbukumbu zako hili....

Magoli ya Morocco
Berkane vs Simba
3-0/3-1/4-1/4-0

Changamoto Kubwa wasiamini.uchawiii kule watateseka sana

Huku sawa wanaweza pambana na wale wazee waooo
Otherwise
ALLDBEST Simba sc(uzalendos kwanza)
Kuna kitu umekosea kwenye utabir wako, kwasababu simba atabeba kombe la shirikisho hilo halipingiki, naungana na wewe simba kufungwa 3-1 Morocco, ila dar wale barkane atafungwa goli zaid ya 3 na hata pata Goli kwa Mkapa
 
Huo mwiko unavyozidi kuzama huko nyuma na akili pia zinapotea.
 
Supu twanywa wapi baada ya simba kufungwa fainali?
1000280474.jpg
 
Jifunze kuuheshimu mpira wa miguu,usijimalize hivi kwani lolote linaweza kutokea
 
Hamuwezi kukaa kimya. Mnazingua kila siku simba tapigwa 3 sijui nne halafu mambo yanakuwa tofauti. Itendeeni haki JF kujadili mira kiprofessional sio hizi ban sijui nini mnakera sana.
 
Kuna sadaka nimeinenea kabisa ipo katikati ya bible Sir God afanye kwelii 😂😂😂😂
 
Asalam Aleykum! Warahman tullah Wabarakatuh!
Nikiwa kama Mwarabu wa Kandahar Afghanstan, naitakia ushindi mnono timu ya RS Berkane.
Khamsa! Khamsa!
Wabillah Tawfiq.
 
Allah Akbar 😍😍😍
 
Back
Top Bottom