Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 719
Ukiona Simba imepata penati ktk dakika 90 za mchezo, ujue kulikuwa na presha ya mashambulizi kwenye eneo la hatari la wapinzani. Hivi kama straika wa Simba hana madhara yoyote, kwa nini beki umuangushe? Jibu ni rahisi, mabeki wengi wa timu zinazocheza na Simba (ikiwamo Yanga) huwa wanaona ni heri kumuangusha mshambuliaji wa Simba kuliko kumuachia aende, kwani ukimuachia apite lazima atafunga tu. Kamuulize Nsajigwa atakuambia yotekwenye dakika 90 hawajapewa penat simba!!?!????