Simba vs Azam leo hapatoshi

Simba vs Azam leo hapatoshi

Nawapongeza mliotujuza nyote ila hamkuwa serious kwakweli maana hamkujua kuwa kuna watu wengi dunia na TZ nzima wanafatilia.
 
Duh, yaani kama tupo ktk kilabu kule chanika. Hata haieleweki nani mshindi, mara kaseja kafuta, mara viva azam !! nani karoga watanganyika ??
 
Hongera Simba. Tuwaache wapiga kelele magazetini.Kama wangekuwa wanajiamini wasingekimbiza timu Zenji.
Kupeleka timu ya kuokoteza ni kukwepa lawama.Pasingekalika.
 
Hongera simba wembe uleule kwa mechi zinazofuata
 
Tuambie kwanza kilichowakimbiza Zenji na chupi mkononi ndio tutaendelea kujadiliana.
 
wembe uleule kwa wapemba na tim zingine za daslam huko kagame kunawenyewe wanajulikana
Mkuu Simba ni wa kimataifa so hofu ondoa,wale wenzetu wa mpira wa mdomoni mara tunamleta Maximo, Okwi, Mulee kelele kibao
 
haohao walioko kagame ni kichapo tu hatujali tim imetoka wapi
Pia ukumbuke ndg kuwa Simba ni mabingwa wa kihistoria,wamechukua kombe hilo mara 6 hamuna timu ingine east na central Africa iliyowahi.
 
:director:Mafuluto Simba kashinda 4-3.Hivyo timu imeingiza milioni 10.
Mkuu mbona unapunguza, lamba lamba wamepigwa mkoono, draw ya mbili mbili on regular time, na three-one on penalty shoot.
 
Back
Top Bottom