Simba vs Azam leo hapatoshi

kwenye dakika 90 hawajapewa penat simba!!?!????
Ukiona Simba imepata penati ktk dakika 90 za mchezo, ujue kulikuwa na presha ya mashambulizi kwenye eneo la hatari la wapinzani. Hivi kama straika wa Simba hana madhara yoyote, kwa nini beki umuangushe? Jibu ni rahisi, mabeki wengi wa timu zinazocheza na Simba (ikiwamo Yanga) huwa wanaona ni heri kumuangusha mshambuliaji wa Simba kuliko kumuachia aende, kwani ukimuachia apite lazima atafunga tu. Kamuulize Nsajigwa atakuambia yote
 
yupi.gif



ty.gif
Simba

rofl.gif
 
Mkuu mbona unapunguza, lamba lamba wamepigwa mkoono, draw ya mbili mbili on regular time, na three-one on penalty shoot.

unapeenda kuona tano enhee azam fc ni next level babaa.... unafikiri yanga hiyoo

forza lambalamba
 
unapeenda kuona tano enhee azam fc ni next level babaa.... unafikiri yanga hiyoo

forza lambalamba
Mkuu Ndetichia nyie ni ndugu zetu, siku nyingine tunawashabikia lakini nilitaka niweke rekodi sawa maana nilichikiandika ndio ukweli, Kwa upande wa simba Sunzu aliipatia timu yake goli la kwanza, Mcha akaisazawashia Azam na Boko akaongeza la pili, Mwinyi Kazimoto aliizawashia Simba ndo timu zilipoanza kupigiana penati, jumla walipiga penati nne nne, Mwinyi Kazimoto, Maftah na Kigi Makasi walifunga penati zao wakati Boban ilipiga mwamba wa juu na kutoka nje, kwa Azam Mcha alipata wakati Nuhu na Mwaipopo penati zao zilidakwa na mlinda mlango Juma Kaseja wakati penato ya Mkambi ilipaa juu, nilitaka niweke rekodi sawa tu mkuu na sio kupenda kuona tano, kwa ujumla mlicheza vizuri hasa kipindi cha pili na mngekuwa makini mngemaliza mchezo ndani ya dak90, sisi kiungo kilipata kwikwi baada ya Musa Mude kutoka na Amri Kiemba alichoka hapo Mcha, Mkambi na Mwaipopo wakawa wanacheza wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom