Simba vs Azam leo hapatoshi

Simba vs Azam leo hapatoshi

sikafunje.N

Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
86
Reaction score
15
Hope itakuwa mechi nzuri sana leo, binafsi nawashukukuru ZFA kutuletea Burudani Dar
 
ZFA wanajua hapa kuna faranga ya kutosha....Leo ndio leo lazima mnyama apakatwe....hahaha !! saa nzuri sana tutakuwa tumerejea kibaruani....na tutakuwepo...!!:flypig:
 
ZFA wanajua hapa kuna faranga ya kutosha....Leo ndio leo lazima mnyama apakatwe....hahaha !! saa nzuri sana tutakuwa tumerejea kibaruani....na tutakuwepo...!!:flypig:

Kuvuja kwa pakacha kaka... Hapa faranga ipo ila kiingilio cha chini wangeweka 3000 ili uwanja ujae!
 
Wakuu naomba mnisaidie hima muda wa game ya fainali ya kombe la urafiki kati ya SIMBA na AZAM coz magazeti yamenichanganya mengine saa 12 jioni mengine saa 10 jioni

Nataka kwenda Taifa so naomba mnijuze hima wadau
 
wadau y mpo cool, ka nanyi hamjui c muungane na mimi kumtafuta ajuae atujuze
 
Azam Timu piga hao wazee wa Sudan 5 bila warudi wakalale reception
 
Vp wameanza kupiga jaramba hapo au ? Tunasubiri kusikia leo hao lamba-lamba watalambwa ngapi ! Naamini itakuwa game zuri maana hao sio kama JKT Ruvu. Pia game litakuwa zoezi zuri sana kwa timu zote ktk maandalizi ya mwisho ya upcoming Kagame Cup !
 
Grrrr.....mitu inasema ipo njiani kwenda uwanjani then kimyaaaa !! au juu ya miti au mapaa ya nyumba nn ??? 🙂
 
Mkuu tuhabarishe basi wengine tupo huku udhaifuni, hakuna kiss wala denda FM lol..

bado ni 1-1
Timu zote zimefanya mabadiliko, Azam inashambulia kwa kasi ya ajabu: Simba kama kawaida inaenda kwa mahesabu zaidi.
 
Back
Top Bottom