kwanini unasema hivyo?
si ni bonanza
kwanini unasema hivyo?
Mkuu tuhabarishe basi wengine tupo huku udhaifuni, hakuna kiss wala denda FM lol..
tupe matokeo mkuu
mcha toka azam anaipatia azam goli la pili so Azam 2 - 1simba..
Updates
simba wanapata penati..
soma hapo juu, au refresh page kila mara utaona updates kutoka kwa wadau...
kama kawaida wazee wa penart, azam wangalieni hao hawachelewi kupewa penart3
sasa unataka yakitokea madhambi refa awapeleke Mabwepande au ? Mbona hata arsenal wanapewaga matuta kibao hata wakijirusha tuu !!
hiyo asernal labda ya kwako mtaani kwenu au ulitaka useme man u