Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

Mbui twite yupo fit. Leo chuji naona kamua kuonyesha kama kiwango hakijashuka. anacheza vizuri pale katikati. Oljoro baada ya kufungwa wameamua kujipanga zaidi. wakiendelea hivi watasawazisha. mia
 
Mbui twite yupo fit. Leo chuji naona kamua kuonyesha kama kiwango hakijashuka. anacheza vizuri pale katikati. Oljoro baada ya kufungwa wameamua kujipanga zaidi. wakiendelea hivi watasawazisha. mia

Ina maana Yanga inaongozaaa???? Yebo yebo watajidai sana leo.
 
leo shadrack nsajigwa na oscar joshua hawana mchezo pale nyuma. kanavaro yeye hana kulemba, mpira ukija anabutua tu. mia
 
Huyu Mbuyu Twite anataka Rage aongeze wanasheria wa kushughulikia ile pesa yao tu,haya magoli anayotupia anajitafutia balaa
 
100 tupo tunakusikilizia,letaX2 updates vp Kavumbagu bado hajatupia la 2 tu?
 
Back
Top Bottom