Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

namanyele

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,852
608
Habari wanajamvi! kama kawaida yetu leo tena mechi kali kweli kweli,mm nitakuwepo uwanja wa taifa DSM live kushuhudia simba na azam,tutakuwa tunawaletea live updates kwa wale waliokosa kufika uwanjani kutokana na majukumu mbalimbali,kwa walioko arusha uwanja sheikh Amri Abeid msikose kutujuza mtanange kati ya Yanga na Oljoro jkt,na hata viwanja vingine mikoani tuko pamoja sana. mia
 
Mahaba kweli upofu,nimeshashtukia ma'reporter wa leo wote walevi wa mahaba ngoja nifunge safari ya home nikajiweke mbele ya LED yangu,am sure StarTv wataonyesha
 
labda tbc fc iwe inaonesha..
 
simba B wanacheza mpira mzuri sana lakini umaliziaji siyo mzuri na sasa ni mapumziko..0 - 0
 
Mahaba kweli upofu,nimeshashtukia ma'reporter wa leo wote walevi wa mahaba ngoja nifunge safari ya home nikajiweke mbele ya LED yangu,am sure StarTv wataonyesha

nakwaminia reporter wangu ebu tupe vitu vya ukweli nasubiri supu ya mnyama apa ndizi zishaiva
 
Habari wanajamvi! kama kawaida yetu leo tena mechi kali kweli kweli,mm nitakuwepo uwanja wa taifa DSM live kushuhudia simba na azam,tutakuwa tunawaletea live updates kwa wale waliokosa kufika uwanjani kutokana na majukumu mbalimbali,kwa walioko arusha uwanja sheikh Amri Abeid msikose kutujuza mtanange kati ya Yanga na Oljoro jkt,na hata viwanja vingine mikoani tuko pamoja sana. mia
kawaida mmekua mkijambulisha hivihivi kwamba mko Uwanjani na mtarusha updates za ukweli kila dakika lakini mwishoe ni kurusha KIMYA- cha msingi tuendelee kuchambua soka na kila tukio linatokea Uwanjani tuache Unazi...nami niko Stadium nitakua Busy nitaka nione ni nini kilisababisha na kupelekea Simba inatoka Droo kwa mechi tatu mfululizo...kwa hili nawaangalia sana Ma-refarii, strikers wa Simba na Defenders wa timu pinzani.
 
Kama lini?
Na nani aliahidi updates halafu akazingua. Kumbuka JF haijamuajiri yoyote, na hakuna tunachonufaika kwa kuweka updates humu zaidi ya umaarufu mavi.
Imagine mtu ameishiwa chaji, au just amechoka tu kuweka updates, aendelee kujichosha ili kuwafurahisha nyinyi? Muhimu tusaidiane na kukubali juhudi za wenzetu...
 
Hii thread nina mashaka nayo, imeanzishwa vibaya. Upo uwezekano wa kupata matokeo feki, kwa mfano baadhi ya wakuu wanaripoti kuwa mechi imeanza Taifa kitu ambacho siyo kweli. Nashauri wakuu waache mzaha huu, watu wanaweza kuzimia kwa taarifa za uongo, tafadhali tutunze heshima na maadili ya JF.
 
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Azam: Kaseja, Maftah, Ochieng, Hatib, Mkude, Kihemba, Kazimoto, Sunzu, Ngassa na Okwi #LigiKuu
 
Kama lini?
Na nani aliahidi updates halafu akazingua. Kumbuka JF haijamuajiri yoyote, na hakuna tunachonufaika kwa kuweka updates humu zaidi ya umaarufu mavi.
Imagine mtu ameishiwa chaji, au just amechoka tu kuweka updates, aendelee kujichosha ili kuwafurahisha nyinyi? Muhimu tusaidiane na kukubali juhudi za wenzetu...
we are not in Court of Law man!,...let truth remain to be truth;....kama unaona huna chaji ya kutosha kurusha Updates kwanini unawa-hakikishia walioko nje ya uwanja watarushia updates kila mara?????...hacha usaniii bwana kwenye mambo yanayogusa jamii ya wengi.
 
Back
Top Bottom