Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

kila la kheri simba sport club.tupeni ushindi na tuzidi kujiimarisha kileleni
 
wasiwasi wangu ni kwa pascoal huyu ni beki mzuri tatizo lake ni mzito sana..
 
Mahaba kweli upofu,nimeshashtukia ma'reporter wa leo wote walevi wa mahaba ngoja nifunge safari ya home nikajiweke mbele ya LED yangu,am sure StarTv wataonyesha
Nilisikia jana kiongozi wa kamati ya ligi akitangaza kuwa wamepiga marufuku radio na televisheni kurusha matangazo ya mpira live mpaka waingie mkataba nao
 
we are not in Court of Law man!,...let truth remain to be truth;....kama unaona huna chaji ya kutosha kurusha Updates kwanini unawa-hakikishia walioko nje ya uwanja watarushia updates kila mara?????...hacha usaniii bwana kwenye mambo yanayogusa jamii ya wengi.

He?
Unalazimisha mkubwa, acha watu wajitolee kadiri wanavyoweza, sio kwa kuwaogopa kina fulani humu JF.
 
Back
Top Bottom